Search results

  1. W

    Mtoto wa Karume, Asha Abeid Amani Karume ajiunga CUF

    Ivi uko Zanzibar kuna aliebaki hajajiunga na CUF?
  2. W

    Picha: Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shari Hamad na Ujenzi wa chama Kisiwa cha Tumbatu

    Akiwa katika ziara maalum ya ujenzi wa chama kufungua matawi mapya Katibu Mkuu wa CUF maalim Seif Shariff Hamad na umati mkubwa uliomiminika katika kisiwa hicho cha Tumbatu jana tarehe 1/4/2017, Ni dhahiri sasa CUF haizuiliki tena katika visiwa vya Zanzibar, itakumbukwa kabla kisiwa hichi...
  3. W

    Mahakama Kuu Kenya kuzuia madaktari wetu kuajiriwa kwao: Watanzania tumejifunza nini?

    Mkuu maana yake hii ni kwamba mfano kama wa Kenya ukitokea Tanzania kwa mfano madaktari wa Tz kugoma, ama walimu kugoma, wafanyakazi wa serikali kugoma nk basi usije ukashangaa na Tz kuagiza kutoka Eithiopa, Kenya ama Rwanda na Burundi badala kutatua kero ambazo wahusika wanadai. Ndivyo tawala...
  4. W

    Rais Magufuli piga marufuku vijana wa Tanzania kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu

    Kwani Tz kuna amani? hakuna unyama zaidi kuliko huo? mara ngapi nimesoma kesi za watu kuwafungia hata wagonjwa ndani miaka nenda miaka rudi hawawapi huduma, wengine huwapiga mapanga wake/waume zao. watoto wachanga wanatiwa chooni. Kuna mtu mashuhuri kama ben saanane hadi sasa Tz hajulikani...
  5. W

    Alieteuliwa na Lipumba akataa uteuzi asema Lipumba si mwanachama

    wanamkana ivi ivi mchana kweupe
  6. W

    Maalim Seif anena baada ya Jecha Kudai alikuwa sahihi kufuta Uchaguzi ZNZ

    Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema ameshamalizana na mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha na haoni umuhimu wa kuzungumzia wala kumjibu, kwa sababu atampa sifa asizostahili. Akihojiwa katika kipindi cha Funguka cha kituo cha televisheni cha...
  7. W

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    hee msijali 2020 tutaweka zilizoharibika umetukumbusha kitu muhimu sana. IT wetu naye alikuwa na harakaharaka
  8. W

    Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    acha papara Zanzibar iko mikononi mwa wazanzibari very soon
  9. W

    Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    Moyoni una hofu kuwa mkweli Maalim Seif amewashika pabaya.
  10. W

    Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    safi sana wanatikiswa huku na huku Maalim seif ameitambulisha dunia kuhus yaliyojiri Zanzibar oct 25. Tusiandikie mate tusubirie tuone
  11. W

    Dimani si Shwari mamluki wavamia Ofisi za CUF

    kweli ccm zanzibar imajji, hawana tena namna kuomba kura kwa wananchi sasa ni fujo tu. Maalim Seif anajuwa siasa sana ata akistaafu siasa tayari wazanzibar wameshaamka.
  12. W

    Lowassa: Kuimarika kwa UKAWA kunawatia hofu kubwa CCM

    Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa, amesema kuimarika kwa umoja na mshikamano miongoni mwa vyama vya upinzani nchini kunawatia kiwewe Chama cha Mapinduzi (CCM), wanaoongoza serikali na kufanya waanzishe mbinu chafu za kisiasa. Aidha, Lowassa amesema kuimarika kwa mshikamano huo chini ya...
  13. W

    Rais Magufuli: Wakulima pandisheni bei za mazao kadri mtakavyo

    Upande ule walidhani number itasomeka upande mmoja tu., sasa number imefahamika kotekote sifikirii kama ule wimbo 2020 watakuwa wanauimba kwa furaha tena.
  14. W

    Baraza la Wawakilishi Zanzibar kumekucha

    hivyo viwanja wakichukua watakuwa wanaangalia kama mmiliki ni ccm hataulizwa kitu, Na tayari hiyo kazi imeanza pale kijangwani, darajani maduka ya wapemba yote wamefyeka kwa boldoza
  15. W

    Baraza la Wawakilishi Zanzibar kumekucha

    hili baraza kule ndani wako wenyewe watupu nadhan wanajuana wanachokifanya
  16. W

    Maalim Seif afanyiwa surprise ya birthday Makao Makuu ya CUF

    Ndo kwanza 2016., lakin mbona mnaunda mazengwe ya kumuunganisha Maalim na masheikh wa uamsho kule Dar? naskia sasa mnaenda na pemba kule Muambe kumroga maalim seif eti asiwe Rais., eti afe harakaharaka hizi nini kama si Stress
Back
Top Bottom