Search results

  1. mweusi asili

    Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake

    Makosa hayo ya PGO yanaweza kuharibu ushahidi na ikawezekana kuharibu hukumu kabisa ndio pale utasikia wanaoenda jela sio wote wanna hatia
  2. mweusi asili

    Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake

    Kwanini hawaweki kwenye maandishi? Kwamba hii biashara au nyumba tumechangia na ndugu yangu kwa % kadhaa
  3. mweusi asili

    Chalamila: Nauli mabasi zizingatie hali ya wananchi

    Kwa haya mafuta ya Tanzania yenyewe Kodi na tozo kuzidi gharama halisi za kuagizia mafuta hali za maisha zitaendelea kuwa mbaya tu
  4. mweusi asili

    Kitendo cha mtu mmoja kutuchagulia Wabunge wa Nchi nzima ni vema kisirudiwe tena huko CCM, tumeumizwa vya kutosha!

    Sasa katiba iliyotungwa na watu 20 ambao ni waNEC ambao ndio haohao waliopaste ikawa ya CCM
  5. mweusi asili

    Kitendo cha mtu mmoja kutuchagulia Wabunge wa Nchi nzima ni vema kisirudiwe tena huko CCM, tumeumizwa vya kutosha!

    Asilimia kubwa ya viongozi wa CCM iwe ndani au nje ya chama wanapatikana kwa rushwa Sasa huo uhalali wanaupataje
  6. mweusi asili

    Kitendo cha mtu mmoja kutuchagulia Wabunge wa Nchi nzima ni vema kisirudiwe tena huko CCM, tumeumizwa vya kutosha!

    Bunge lenye mchanganyiko sahihi, unaondoa upinzani bungeni kisa hautaki kukosolewa unajaza watu wako wa chama ambao wengi ni mizigo bunge linakua kama darasa la chekechea hakuna mijadala wala hoja kinzani. Nilijiuliza sana wakati wanapitisha mkataba wa bandari yaani wote wanausifia tu waliokosoa...
  7. mweusi asili

    Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Umeoa Malaya kaka, mwanamke anayekupenda halipizi kisasi kwa kutombwa na bwana mwingine
  8. mweusi asili

    Mwanamke akikupenda anakupa kitu roho inapenda

    Ndio ile unaambiwa hebu maliza mi nilale😥 wanaume tumeumbiwa mateso
  9. mweusi asili

    Kumbe kila mtu anaona raha upande wake

    Msenge wewe ulivyo maliza comment yako umeua
  10. mweusi asili

    Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Yaani unawasiliana na baba mtoto bila kumshirikisha mumeo na unajua msimamo wake juu ya mawasiliano na baba mtoto apo ndio tatizo linapoanzia inaonekana dada bado alikua anampenda baba mtoto na sio mumewe iyo ni dharau mbaya na ndipo usingle mama unapoonekana jau
  11. mweusi asili

    Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Nyoosha maelezo sio ya yule mzee hii Simba imesajiriwa Australia
  12. mweusi asili

    Wajane walindwe kwa wivu mkubwa

    Lakini angalau inapunguza matarajio yasiyo na sababu
  13. mweusi asili

    Wajane walindwe kwa wivu mkubwa

    Kuna kitu kinaitwa pre nuptial agreement ie makubaliano kabla ya ndoa wenzetu hii kitu wanazingatia sana hasa kwa wale wanaoingia kwenye ndoa ambayo mwenza alikua na ndoa nyingine au maisha yake Sasa sisi tunachukulia suala la ndoa kihisia zaidi badala ya mantiki. Wanandoa sio ndugu wakati...
  14. mweusi asili

    Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    2013 jide anakataa 800k ya clouds miaka kumi badae 2013 Nature anakataa 500k ya wasafi. Wasanii wa bongo wanalipwa kidogo Sana ukilinganisha na hadhi waliyonayo
  15. mweusi asili

    Tujifunze kwa Vicky kuhusu ndoa

    Pia hata kujenge Mali na uchumi mke wa pili inabidi awe makini kuhakikisha anatenganisha na Mali za mke aliyepita bila ivo itakula kwake
  16. mweusi asili

    Mwanamke akiwa hedhi anakuwa na hasira na mpenzi Wake?

    Mimi wife akiwa period anakua na nyege Sana alafu tumbo linamuuma ila nikimpiga pumbu anatulia Sana yeye mwenyewe anasema inampunguzia maumivu ya tumba na saikologia yake inatulia
  17. mweusi asili

    Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

    Hiyo ni mkataba sio Kama za mchina honda ukinunua mpaka mjukuuu anaikuta sio izo za kichina ikimaliza miaka 5 tu haifai
  18. mweusi asili

    Mwanamke akiwa hedhi anakuwa na hasira na mpenzi Wake?

    Mpige pumbu kuna wengine wakiwa period nyege nyingi
  19. mweusi asili

    Hii ya wake wa viongozi wastaafu kuanza kulipwa ni zaidi ya too much

    Kwaiyo mama salma kikwete atalipwa mafao Kama mwenza wa raising, mwalimu mstaafu pia na ubunge
  20. mweusi asili

    Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

    Sasa ili aweze kuperform lazima hizi vitu viwe timamu ie Hormones, mishipa(damu/fahamu), akili imetulia na hisia ziko vizuri ukiondoa sababu zingine za nje
Back
Top Bottom