Search results

  1. Shangani

    DOKEZO Nadai Tsh. Milioni 440 kwa Mkandarasi wa SGR. Naomba Serikali inisaidie, napigwa danadana tangu Desemba 2022

    Biashara na makampuni ya kimataifa inabidi uwe makini sana... Mkataba kama wa Tsh 400 Million umeshindwa kutoa Tsh 4 million kwa Wakili hapo? Uweke kipengele cha uamuzi kwenye Mambo ya kibiashara wameshindwa kukulipa unakama crane, Motor Grader, Excavator na Mitambo mengine ya maana ungeona...
  2. Shangani

    Wahudumu wa baa, hotel acheni kubana chenji za wateja hata kama ndogo

    Wapunguze Makato kwenye Lipa Namba...unakuwa hakuna ugomvi wa chenci
  3. Shangani

    Utajiri wa wafanyakazi wa TRA uchunguzwe

    Ushahidi wako...peleka Takukuru au tume ya maadili ya utumishi wa umma.
  4. Shangani

    Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Woke Mind Virus... Hii kesi Mahakamani ya Rufaa imefanya Maamuzi sahihi Sana huyu Binti ni Mtu mzima kwa kujibu wa Sheria zetu. 1. Simu ilisha chaji? Alifika stendi hakuona umuhimu WA kuomba msaada WA kuchaji simu? 2. Wazazi tuwafundishe Mabinti zetu kuwa hakuna cha bure Duniani. 3. Binti kama...
  5. Shangani

    P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

    Hizi kashfa zote ni deal za biashara...tuwe makini na watu wetu WA karibu why hawajafungua criminal case? Michael Jackson Sony Music walimuungia zengwe la kulawiti kwa sababu aligoma kuuza his Music Catalog kwao kwa bei ndogo. Ukweli hakuna tajiri msafi.
  6. Shangani

    Kwanini tunaiamini DNA?

    Unachotakiwa kufanya ni kubuni kipimo chako kuonyesha kipimo cha DNA ni uwongo.
  7. Shangani

    Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Unaangaliaje density 28 wengi wetu tunajali Inch Kubwa tu. Brand gani nzuri kwa sasa sokoni
  8. Shangani

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Nani ana hukumu ya hii kesi awiweke hapa watu waisome waone kilichojiri Mahakamani. 2. Jamhuri bado wanaweza kwenda Mahakama ya Rufaa kama kuna sababu za msingi na Mke wa Msuya akahukumiwa kunyongwa. Mfano Bageni. 3. Kesi za Mauaji ni Ngumu Sana upande wa Jamhuri kuthibitisha kosa kwani mara...
  9. Shangani

    Utapeli wa kampuni ya tigo wakishirikiana na bima mkononi (milvik)

    Nenda ofisi ya Mwanasheria wa Serikali hapo Tabora watakupa msaada bure wa kisheria au tafuta ofisi ya TLS Tabora utapata msaada bure Kabisa.
  10. Shangani

    INAUZWA Nyumba kuukuu inazwa Mbagala kwa Mangaya

    Imepimwa? Je ni ya urithi? Inafikika kwa Gari? Bei? Weka wazi hivyo vitu
  11. Shangani

    Vinara wote wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 wametutoka

    Rais Magufuli 2021, March 17 Bernard Membe 2023 May 12 Edward Lowassa 2024 Feb 10
  12. Shangani

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Tausi. Umesema hapa kuwa Kuna viwanja vya halmashauri haviingii kwenye mfumo wa Tausi kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi naomba uweke ushahidi ili ijulikane kuwa mfumo wa Tausi unamapungufu na developer wafanyie kazi hayo Mapungufu.
  13. Shangani

    Natafuta Shamba la Kufugia Kigoma(Kasulu DC au TC, Uvinza au Kibondo), Karagwe au Biharamulo au Kahama. Kukodi au Kuuziwa Kabisa.

    Nenda Tanzania Investment Center watakupa msaada zaidi ila mtaji usipungue 50 million
  14. Shangani

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Ni swala la muda tu hatuwezi kukwepa tena mfumo.
  15. Shangani

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Unaweza kuweka ushahidi hapa wa hii kauli yako hapa ili tujue kuwa mfumo hauna tija.
  16. Shangani

    Nilinunua pagala Mbeya 2017 kwa shilingi 3.5M, haliuziki hadi leo

    Usikate taamaa weka picha hapa na delaits za kueleweka Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
  17. Shangani

    Nahitaji kununua kiwanja naomba kujua ni hatua zipi za kufuat wakuu

    Ingia google andika nataka kununua kiwanja bila kutapeliwa/ jamii forum utapata majibu ya swali lako. Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom