Search results

  1. R

    Huyu ni kiumbe gani?

    Classification ilitufundisha kufanya grouping sio kukifahamu kiumbe na specification binafsi,... Labda classification ya level zingine sio zile za secondary..
  2. R

    Huyu ni kiumbe gani?

    Katika pitapita za weekend ufukweni mwa bahari nikakuta huyu kiumbe, cheupe tupu. Anayemfahamu naomba maelezo tafadhari.
  3. R

    INAUZWA Inawahusu walimu au wamiliki wa shule tu.

    Habar wadau wa elimu. Kuna jambo hapa naomba ushirikiano wako. Hii ni kwa zile shule za sekondari sasa kuna maabara zile za masomo ya physics, chemistry na biology. Sasa kwenye hizi maabara kunatumika vifaa (apparatus) na kemikali mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi yaani...
  4. R

    INAUZWA Apparatus & chemicals

    Habari njema kwa wamiliki wa shule,vyuo, taasisi za tafiti, n.k 👉Tunauza apparatus aina zote ,chemicals, na vifaa vya maabara aina zote. Kwa mashuleni,vyuoni na taasisi mbalimbali za elimu na tafiti. Tutakuletea mzigo hadi ulipo, baadhi ya vifaa na bei zake zimeambatanishwa. 👉Tunafunga mifumo...
  5. R

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Mtaji hapa ni kuangalia mfukoni mwako maana unaweza kuweka hat 5 M ,ila anaweza kuanza hata na 2 M, ongea na fundi akupe orodha ya vifaa vinavyobadilishwa sana kwenye pikipiki na bajaji ndio unaanza navyo kisha utaendelea kujaza na vifaa vingine kadri mtaji unavyokua, ila hakikisha huyo dogo nae...
  6. R

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Sikiliza kuna mtu kukushauri biashara nzuri tu hapo juu, amesema fungua duka la spare za pikipiki na bajaji, tafuta mafundi wazuri hata wawili kwenye hii biashara mafundi huwa wanajilipa kwa kufanya ufundi ila wewe unauza spare, sasa mi naongezea kwenye hili wazo kalifanye njee ya mji kidogo...
  7. R

    Msaada: Unaagizaje dawa kutoka nje ya nchi?

    Huwezi agiza mkuu, otherwise ukasajili kampuni ya madawa, upate leseni ya kuagiza kutoka TMDA, vibali tu itakugharimu sio chini ya 2M , kisha ndio uagize kwa bei ya huko plus freight cost....
  8. R

    Maumivu makali ya tumbo nikisimama

    Unaposema umefanya vipimo tuelewe nini sasa ungesema umefanya vipimo gani ili mtu anapokushauri anaweza akakushauri kuongeza kipimo ambacho ujafanya bado.
  9. R

    Naomba kujuzwa/ kufahamishwa kuhusu suala hili la ujauzito

    Tafiti nyingi zinaonyesha miezi 4 hadi 18 unaweza kubeba tena ila kadri unavyojipa muda ndivyo unaimalika kiavya zaidi.
  10. R

    Maumivu kwenye chemba ya moyo

    Inawezekana una kati ya hali hizi mbili au zote zinafahamika kwa jina la ANGINA na ULCERS
  11. R

    Msaada kitu kucheza tumboni upande wa kushoto

    Kafanye ultra sound utapata mwafaka ila kuna kasumba ya wataalamu wa radiological diagnostic baadhi hawapo competent hivyo ni muhimu kwenda kwenye hospitali mbili tofauti kuhakiki zaidi kama yote yatasoma case sawa basi jibu ndo hilo hilo. NB usisahau kurudi kutoa mlejesho
  12. R

    Nahitaji mfugaji awe ananiuzia tray 300 kwa wiki

    Yanapatikana nitakucheki soon,
  13. R

    Tunatoa huduma ya utunzaji wa bustani na usafi

    Karo reac, ]karibu platozoom
  14. R

    Ujana unapelekesha aisee....

    Embu subili dhambi ni Nini? Huenda ufanyi dhambi ila ujijui tuu! Wenye definition waje!!
  15. R

    Ractis chases # lipa kwa awamu

    Hiyo 10 m mpka mkononi?
  16. R

    Tunatoa huduma ya utunzaji wa bustani na usafi

    Call now for monthly garden services 0711383998
Back
Top Bottom