Search results

  1. L

    Jaki Kweka aka Mama Chocolates

    Huyu ana mzungu nadhani mmearekani kama sijakosea lakini pia yuko team ya upande wake aka kama salama jabir, nadhani hapo umeelewa. Hiyo ya binti wa aliyekuwa mkuu wa Kaya inajulikana japo huyo binti naye ana mume. Hii ndio JF, hakuna asiyejulikana habari zake.
  2. L

    Makongoro Nyerere, urais hautafutwi kirahisi hivyo! Watanzania muwe macho!

    Huyu zaidi ya kuzaliwa na silver spoon mdomoni aliwahi kufanya kazi wapi ? Na hapa nazungumzia REAL JOB na sio kusoma e-mails za Salim Ahmed Salim kama yule kijana mwingine. Na experience yake ya kuongoza kamwongoza nani maishani mwake? Maana hata George Bush jr tunajua alikuwa mwanajeshi kisha...
  3. L

    Friends of Membe UK kukutana siku ya Jumamosi

    Mikakati ishakamilika na kwa taarifa za uhakika kuwa friends of Membe wanakutana London siku ya Jumamosi tarehe 6. Mkutano huo utatumika kuzindua rasmi hili kundi na pia utawapa wanachama taarifa za kiasi cha pesa ambacho kimepatikana (inasemekjana washakusanya karibu dola milioni 2 toka kwa...
  4. L

    TEAM MEMBE haina Media Strategy?

    Hivi mbona sioni team membe wakifanya juhudi kwenye propaganda au ndio washakubali matokeo?
  5. L

    Bagamoyo: Ufisadi wa Billioni 20 Ferry ya Dar

    Kuna ufisadi mkubwa wa BILIONI 600 sasa kuna hiki kiduchu cha BILIONI 20 Acha wala nchi waendelee kula. =============================== Chanzo: The Citizen
  6. L

    Tanzanian media on social media: who’s winning the battle for likes and followers?

    Tanzanian media companies compete fiercely for readers, listeners and viewers. Increasingly, they battle for followers and likes in the social media space as well. So who is winning?
  7. L

    Kwanini Serikali haitaki ku-address hizi Conspiracy kuhusu BAKWATA?

    Mada hii umewashika watu pabaya Ukweli ndio huo.
  8. L

    President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation visit the Boeing planes manufacturing plant in Se

    Iko wapi ile picha aliyokwenda JAMAICA? ATC imekufa serikali haina pesa za kuifufua BOEING watampa story Kufanya kazi na JK raha sana kila siku PER DIEM za Intl trips
  9. L

    Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

    BADO MNATAKA KUFANANISHA HUYU MWANAMKE NA WAME MACHANGU??? PLEEEEEEEEEEEEEEEEZE
  10. L

    Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

    Mimi Linda angekuwa mke wangu kazi yangu mie moja tuu...Kila baada ya miezi 9 namzalisha hakuna la zaidi na nazidi kumpenda maana kwanza amekaaa kupendwa pendwa vileeee. japo ni mke wa mtu lakini nita tubu tuuuu.. Usiku ukifika napiga YATHAWAAAAB THUBALAIYNAAAAAAA WAGHFIRLANAAAA YATHAWAAAAAB
  11. L

    Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

    wenye wivu kajinyongeni tuuuu tazama guu hilo PASCO
  12. L

    Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

    narudia tena kusema hiviiii Hawa akina Mange, na vi bushuti wenzao woooote hata wafike 2000 hawawezi kumfikia Linda kwa lolote lile in short huwezi linganisha usiku na mchana
  13. L

    German President Arrives in Tanzania For Five-day State Visit

    na kwa nini aje usiku kama mwizi?
Back
Top Bottom