Search results

  1. S

    Bila nidhamu taifa haliwezi kwenda mbele

    Watanzania tuna mazingira mazuri sana ya kupiga hatua kwenda mbele zaidi ya hapa tulipo. Lakini tatizo letu ni nidhamu katika maisha yetu, kila kitu kinafanyika kiholela holela hakuna njia thabiti za kuhakikisha sheria na taratibu zote zinafuatwa. Barabarani bodaboda hawana nidhamu, na hakuna...
  2. S

    HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

    Hao ma HR waliosema hayo wamesoma vyuo vipi?
  3. S

    Kweli wanatuona manyani

    Kwahiyo unajisifu kuonekana nyani. Hao wanaokuona nyani wamepigana vita ngapi wenyewe kwa wenyewe, nchi zao mara ngapi zimeingia matatizoni?
  4. S

    e-GA inahujumiwa

    Nipo ndani ya hii industry kuliko unavyodhani na nishafanya kazi serikalini na private gap lao ni mbingu na ardhi vi system vyako unatumia codeignitor na laravel ndo unataka kutisha watu
  5. S

    e-GA inahujumiwa

    Ni kitu gani kwenye mfumo mzima unachotengeneza ambacho wao hawakijui, technology ni yao vifaa ni vyao halafu unajidai na lipi?
  6. S

    e-GA inahujumiwa

    Naongezea kwanini namba nyingi za "tuma kwa namba hii" ni za TTCL?
  7. S

    e-GA inahujumiwa

    Kwani vijana wa NMB sio vijana wetu?
  8. S

    e-GA inahujumiwa

    Wahindi wanachukua tender kwa bei kubwa then wanawapa tender wabongo kwa hela ndogo. Wahindi ni makanjanja tu kwenye tech.
  9. S

    e-GA inahujumiwa

    Kutumia NMB ni kutumia mifumo ya nje? Hiyo mifumo inayotengenezwa na wazawa kwanza inarun kwenye operating system za nje, inatengenezwa kwa programming language za nje? Hardware zake na storage zake ni za nje. Networking devices zote ni za nje.
  10. S

    e-GA inahujumiwa

    Kupitisha trillion sio ishu ishu ni are they secured. Mara ngapi umesikia pesa zimechepushwa na ni mara ngapi umesikia bank ya NMB wamepigwa hela?
  11. S

    e-GA inahujumiwa

    Wanacomment kuhusu tasnia wasizozielewa. Tena wanatumia open sourced kuna wengine wanatumia pirated kabisa.
  12. S

    e-GA inahujumiwa

    Sio swala la akili ni swala la uwezo
  13. S

    e-GA inahujumiwa

    Nitajie mfumo mmoja tu unaorun vizuri ambao umefanywa na eGA
  14. S

    e-GA inahujumiwa

    Sasa huyo GEPS unauona ni mfumo wa maana sana? Unahitaji exposure sana. Mfumo kama 3 year project ya watoto wa chuo
  15. S

    e-GA inahujumiwa

    Nitacommeny kitaalamu maana ni tasnia yangu. Kwa Tanzania IT wa mashirika binafsi na wa serikalini ni mbingu na ardhi. IT wanatengeneza system mbovu kuanzia user interface, nzito kuload na withoutdated technology. Nitajie mfumo wowote wa serikali usiointegrate na private sector ulio stable.
  16. S

    Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

    Kama lengo ni kufikisha ujumbe kwanini viongozi wasingeenda UN na gari moja tu.
  17. S

    Kwanini unapofanya miamala kwa benki gharama za miamala huwa haziwekwi wazi ujue kabla hujatuma?

    Mitandao ya simu inazo pia mpaka kwa mawakala wamebandika lakini bado kwenye kufanya transaction wanakuonyesha
  18. S

    Vijana msikatishwe tamaa na wazee

    Halafu wanasema vijana sio wazalendo wakimaliza kidato cha sita waende jeshini
  19. S

    Vijana msikatishwe tamaa na wazee

    Wazee wamelitafuna sana taifa
Back
Top Bottom