Search results

  1. B

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    kuingia sio ishu, nchi za commonwealth unaingia bila visa kama mtalii kwa siku 30. Pia hata kama unahitaji visa watakua wameomba tu tourist visa ilivyoisha wakabaki. Work permit ni hela nyingi,
  2. B

    Offer ya Ramadhani: EFD machines650,000/=

    Bolsto Solutions Ltd, approved supplier wa EFD machines, tunatoa offer KWA MUDA MFUPI KATIKA KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI, njoo ujipatie mashine yako kwa bei nzuri na kwa haraka bila usumbufu. Wahi kabla hujapitwa. Ni kwa muda na idadi maalum. Tupo kariakoo, mtaa wa Lindi na Livingstone, karibuni...
  3. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    kwa kuongezea tu boss, bidhaa ambazo zinatozwa VAT ni zile ambazo zimeongezewa thamani. Vitu kama, mchele, unga, mahindi etc havina VAT mpaka pale vitakapokua processed. so hao kuku wa singida, hawana VAT ila endapo utawachukua, ukawachinja, ukawapack vizuri ukawapia lebo, ukiuza hapo watakua na...
  4. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    ila pia ukiuza 8000 hautapata hasara wala faida, maana VAT yako si utakuja idai.
  5. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    utauza 8000+VAT yaani 9,440
  6. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    Ukinunua kwa mtu mwenye VAT ndio utaweza claim hiyo VAT ukaja kuikata ukija fanya returns. Mfano umenunua kitu cha 1M VAT yake 180,000 hiko kiasi maana yake unakua unaidai TRA, unapokuja kufanya returns una claim. ukinunua kwa mtu asiyekua na VAT, imekula kwako, hela yote hiyo inapotea
  7. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    Ni kweli boss, tatizo mpaka sasa hivi, mfumo wa mashine hautumiki ipasavyo especially kwa upande wa watu wasiokua na VAT. Walioko kwenye VAT hawana shida, wanatumia mfumo wa kufanya returns na siku hizi wanaweza fanya mpaka online unainiza risiti za mauzo na manunuzi huko. Kwa watu ambao hawana...
  8. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    kuna mfanyabiashara wa kuku ana VAT?
  9. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    ndio mahesabu yalivyo boss, uliza mtu mwenye VAT. Ndio mana unasikia kila mwisho wa mwezi wanafanya kitu wanaita returns. na unaweza fanya hata online. Na ndio maana siku zote mtu mwenye VAT analazimika kununua kwa mtu mwenye VAT. wanaoingiza bandarini pia wana claim. jaribu kuuliza mtu mwenye...
  10. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    Hiyo nadhani itakua ngumu kidogo, ila wana idea nini cha ku expect kutoka kwako. Mashine zipo za aina nyingi na zinatofautiana kwenye jinsi ya kutumia, ila mwisho wa siku matokeo ni yale yale kwa maana report zinazohitajika. Ni sawa na kuomba TIGO wakufundishe wateja kutumia simu zao, Ni...
  11. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    Hauko sahihi boss.. nadhani kama kuna mfanya biashara mwenye VAT experience atujuze. Pili mfanyabiashara mwenye VAT, yeye halipi VAT, anayelipa ni mnunuzi wa mwisho kabisa, ndio mana yeye anadai (claim) VAT TRA mwiho wa siku. kwa mfano wako uliotoa. bidhaa ya 8000 VAT yake ni 1440, na ameuza...
  12. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    Hapana, kadai TRA. unapoenda kulipa kodi nenda na risiti zako, utakata kwenye kodi hela yako
  13. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    Mashine zote za phaze II (kuanzia 2013) zinaingiza manunuzi pia, sema watu wenyewe hawatumii au hawajui. Ila manunuzi lazima yawe na risiti za EFD, so ukinunua mzio dai risiti. Kama hufahamu jinsi ya kuiniza, nenda kwa aliye kuuzia akuelekeze. kuiniza manunuzi ni rahisi kuliko hata kutoa risiti...
  14. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    VAT haina tatizo kama watu wanavyofikiri, kikubwa ni kupata elimu yake. Na kwa sasa TRA haitoi VAT kirahisi, wamegundua watu wengi wanatumia VAT kukwepa kodi. Anyway, umeshasikia mtu mwenye VAT analalamikia VAT na kutaka kuondolewa? Sasa hivi kuingizwa VAT ni mpaka uwe na mauzo ya analau 100m...
  15. B

    Taarifa: TRA kugawa mashine za EFD jijini Dar

    Tokea mwanzo mashine ni bure, tatizo elimu haikutolewa ya kutosha, na pia kutokua na tabia ya kuuliza wahusika sahihi, information nyingi tunapata mtaani ambazo zinakua si sahihi na siasa pia zikaingia tena juu yake. Sheria ya EFD inavyosema, mfanyabiashara anaponunua mashine ya efd (moja au...
  16. B

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Boss, nachukulia mashaka data zako. utafiti ulichukua muda gani? kwa maana kwa idadi uliyoainisha hapo juu, ina mana kama ulitumia mwaka mmoja, kwa wastani ulihoji watu 1000 kwa siku. siku moja ina dakika 1440 kwahiyo ili kuhoji watu 1000 kwa siku, utatumia dakika 1.4 ka kila mtu, na hapo na...
  17. B

    Offer ya sikukuu: Mashine za TRA (EFD) kwa tshs. 400,000 tu

    bei inajulikana boss, kawaida makampuni yote tunauza kuanzia 600,000
  18. B

    Offer ya sikukuu: Mashine za TRA (EFD) kwa tshs. 400,000 tu

    Bolsto Solutions Ltd inawatangazia wafanyabiashara punguzo maalum kwa ajili ya msimu wa sikukuu. MAshine zitauzwa kwa Sh. 400,000/= tu. Wahi mapema kabla kabla stock ya offer haijaisha. Fika katika moja ya ofisi zetu, mtaa wa lindi na living stone kariakoo au ya mtaa wa swahili na bibi...
  19. B

    Offer: Bajaji zisizotumia mafuta kwa bei nafuu 3.5m tu

    Nimewaelewa, ngoja niandae majibu ya maswali yenu yote. then nita yapost hapa pamoja na picha leo hii.
Back
Top Bottom