Search results

  1. lendanai

    Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Daaaah BAHATI mbaya sana mi nimekutana na walimu vilaza........ imagine unampa mwlm swal mpk anakuambia ntakupa majibu kesho............kibaya Zaid Kuna huyu wa hesabu kila siku notice hakuna kufundisha utasikia andika ukajisomeee mwenyew...........Sasa matrix na trigonometry ratio kwel...
  2. lendanai

    Rais Samia nimekuangukia mguuni, keki ya birthday yako mpe Thadei Ole Mushi uokoe uhai wake

    Daaaaaaaaaaaaaaaah,nmesikitika san......rest in peace OLE MUSHI
  3. lendanai

    Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

    Huyo demu hakutaki na inaonyesha wewe ni kinganganizi.....kitendo Cha kumpa mwanaume mwingn uongeee naye ni ili ujue kuwa wewe huna nafasi tena kwak...........move on brother huyo ashakuwa malaya ndoige
  4. lendanai

    Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

    Mwanamke malaya ni kama Nyoka hafugikiiiiii................endelea kuhudumia danga lako kwa muda wako na yule mwingine amuhudumie kwa wakati wake......... kumbuka kupata utelezi mara kwa mara kuimarisha mahusiano
  5. lendanai

    TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

    Inaonyesha ana roho mbaya Sana aiseee..... mwijaku anajidhalilisha kwa makusudi ili mkono uende kinywani afu mjinga mmoja anaomba TRA wamkague.......this is shame ase
  6. lendanai

    TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

    Daaaaaah inaonyesha una roho ya hila na chuki mkuuuu........Sasa unawaelekeza TRA wakamfanyaje Sasa kama mtu ameamua kutumia hela yake kujenga ina maana amekosea nin jmn...........inauma Sana ukipata maendeleo afu mtu mmoja akatafuta namna ili ufilisiwe
  7. lendanai

    Msaada: Je, ninaweza kumtengua msimamizi wa mirathi?

    Sasa mkuu kama nyumba ni ya familia ni kwann unakataaa makubaliano ya ndg zako ya kuuza ili kila mtu apate mgao wake kihalali.......
  8. lendanai

    WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    👉👉 Kila kitu Huwa inatokea kwenye akili ya mtu na moyo wake jinsi alivyojiaminisha...........ukwel n kwamba huyo Binti umemuaribia maisha maana uliforce kusex naye na hakuwa na interested na wewe hapo ina maaana hukuwa na kibali ndani ya MOYO WAKE na ndo maana kitendo kile ilibakia kama MKOSI...
  9. lendanai

    Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

    Ni kwel kabsa..........nguvu ya ushawishi inaanzia kwenye macho
  10. lendanai

    Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

    Nmeelewa hoja yako mkuuu.........kitendo Cha Binti kuonekana kwenye macho ya wengi ndio chanzo Cha maovu kuanza kujitokeza
  11. lendanai

    Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Huyu n Mimi kabsa......mbinu hii hii ya kujisifu na ninavyomiliki ndio ilinipa mwanya wa kumpata shemeji y'ako.......binafs nilkua naendesha trecta ya kaburu mmoja basi mi nkamfanganya ni yangu na hizi mashamba ya mpunga ni zangu pia......Mwisho wa Siku ikabaki historia tu
  12. lendanai

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Huwa naumia Sana pale ndg zangu wanapoonekana useless
  13. lendanai

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Hahahahahhah......umeniongelea mim kabsa kaka......hata wangu anakuwa na hiii kitabia ya kutaka kujua kila kitu in detail na ingine ndio hii anapenda Sana kuongea na simu na ndug zake kuliko ndg zangu......
  14. lendanai

    Another motivating story from Nayce Moshi

    ✍️✍️✍️ Sio kwel kwamba yeye ni Bora Zaid ya wengn Bali tuseme tu bahati yake imekubwa kubwa kuliko wengne......ukumbuke kuna watu wenye nguvu ya ushawishi kuliko yeye lkn connection ya kujuana ikazima ndoto ya aliyestahili hiyo nafasi.............mtoa post umekosea Sana
  15. lendanai

    Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

    Umeongea point kubwa sana ila umesahau kuwa kuna waliosoma course zenye kipaumbele na bado wakakosa connection............sidhan kama kuna kumuandalia mtoto future zaid ya elimu
  16. lendanai

    Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    🤣🤣🤣🤣🤣 umejuaje kaiba lkn......mpe pole mwenzio tuache roho mbaya
  17. lendanai

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    MMkuuu Mkuuu umenikumbsha mbali sana......enzi Hizo fm ACADEMIA na DIAMOND MUSICA ndo habari ya mjini.......wakat huo mapedesheeeeee ni watu wenye pesaaaa haswaaaaaaa sio mchezo na wakat huo pedesheee anaetajwa kwenye nyimbo wanakuwa wamemwaga notiiiii za ufadhili kwel kwel
  18. lendanai

    Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    👉👉👉 Siku moja nikiwa restaurant nmetulia Zang akaingia pisi Kali imetulia haswaaa basi mwamba nkaamua nijisogeze kidg kwak nipate kampan daaah kwel Pisi ilinielewa na kwa dakik kadhaa tu niliopoa Mtoto basi ikabidi nipange namna nakapige show na DEMU mwenyew alinipa go ahead.......nilpiga show...
Back
Top Bottom