Search results

  1. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Naomba muongozo mkuu
  2. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Huyu yuko out of options right now
  3. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Si ni mpaka nishindwe kulipa
  4. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Kama una option we nipe tu, mafanikio yanataka risk
  5. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Sina mali nyingine ya kunidhamini ndugu
  6. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Mpaka kufikia kuwaza hili nimekosa kabisa options nyingine my dear
  7. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Nikadhani dhamana ya nyumba yangu inatosha
  8. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Hii ni bank?
  9. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Kwenye kuanza tunapata wapi mitaji?
  10. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Nitapata wapi mtaji?
  11. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Hatuna njia nyingine ya kupata mitaji boss
  12. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Ndo nataka kupata mtaji niianze mkuu
  13. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Habari zenu wakuu. Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je? Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe. Natanguliza...
  14. fleha

    Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Wewe unataka justice, yeye anataka hela.. Sasa tumsikilize nani? Na
  15. fleha

    Simulizi Mpya: Mnyama ndani yangu

    MNYAMA NDANI YANGU! SEHEMU YA PILI Na Nira Saire Kila mtu pale alikuwa amegundua kuwa sikuwa na jibu lolote la kuwapa,baadala yake nilikuwa nikishangaa tu, hivyo wakaniacha nikapumzike kwenye hostel za shule ambapo ndipo nilipokuwa nikiishi. Nilipofika hostel ndipo nilipokuja kugundua kuwa...
  16. fleha

    Simulizi Mpya: Mnyama ndani yangu

    MNYAMA NDANI YANGU! SEHEMU YA KWANZA Na Nira Saire Ilikuwa ni siku ya Alhamis majira ya saa nne za asubuhi nikiwa darasani nikisoma na wanafunzi wenzangu, mara hali yangu kiafya ikaanza kubadilika! Ikawa nahisi maumivu ya kichwa yakinianza polepole huku yakiambatana na kizunguzungu!. Nikaamua...
  17. fleha

    Kumtamani mwanamke ni kosa?

    nafikiri ni muhimu sana kupendwa ila umuhimu wa kutamaniwa usidharauliwe. au wewe unaweza kuruhusu mkeo aishie kukupenda tu wewe ila akamtamani mwanaume mwingine?
  18. fleha

    Kumtamani mwanamke ni kosa?

    fungua darasa fundi wa kutongoza sisi tusiojua tujifunze
Back
Top Bottom