Search results

  1. Mzee23

    Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

    Si tuliambiwa na 'jpm' kuwa gesi hatuna chetu mabeberu wamegawana !?
  2. Mzee23

    NIDA-UKONGA namba zinatumika muda wote!!

    Habari wakuu, Ni wiki sasa, nimekuwa najaribu kuwasiliana na mamlaka ya vitambulisho vya Taifa ofisi za Ukonga, Dar. Zipo namba mbili zimewekwa mtandaoni kwa ajili ya wananchi kuwasiliana na mamlaka hii kuhusu huduma za vitambulisho ikiwemo hii +255673333444 lakini namba hizi hata wewe hapo...
  3. Mzee23

    Huu sio mkanganyiko kuhusu Mtihani wa Mock Tanzania?

    Nimeona waziri akipiga marufuku kufukuza waliofanya vibaya
  4. Mzee23

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    Mke asiye na AKILI shida
  5. Mzee23

    Kwa ulichomfanyia mdogo wangu, tutakutafuta tu ewe mwanamke

    Ogopa sana kukutana na mwanamke mwenye changamoto ya afya ya akili
  6. Mzee23

    Rais Mwinyi azindua uwanja mpya wa Amaan Complex

    Wanasema 16,000
  7. Mzee23

    EFM Radio yatoa asili ya siku ya Christmas, wasema tarehe 25 mwezi wa 12 ni sikukuu ya wapagani

    Wewe ulidhani dec 25 ndio birthday ya Yesu? Hapana alibambikiwa tu na watu wenye maslahi binafsi.. maana Kihistoria ya kibiblia Yesu alizaliwa katikati ya mwaka hapo sio mwishoni. Kujifunza zaidi tembelea kanisa la Waadventista Wasabato(sda) lililo karibu yako.. ujifunze kwanini wao...
  8. Mzee23

    Vituko vya X zangu, Kwenye Harusi yangu

    Kwanini ulimwacha mwezi mmoja kabla ya vikao vya shughuli mkuu!?
  9. Mzee23

    Tanesco Iringa mjini hali ni mbaya

    Kuna mgao mkali maeneo mengi ya miji midogo, sema kwakuwa wanaharakati na vyombo vya habari vingi vipo majijini ambako wamefumbwa macho kwa kutokatiwa umeme husikii kelele. ingawa wao wanakanusha kwa nguvu zote kwamba hakuna mgao!
  10. Mzee23

    Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    Huyo PAULINA ana elimu gani? Mbona ana akili sana? Amavyowaumbua wenye vyeo na elimu Kama watoto wadogo! APEWE ULINZI
  11. Mzee23

    BAVICHA jifunzeni kwa Makonda mnapounga Juhudi msiwadharau waliokufikisheni Hapo Kisiasa Mbowe na Lissu!

    Kwamba ulikuwa live unafuatilia ziara ya 'komredi?' Watu mna mudaa!
  12. Mzee23

    Timu zilizofuzu hatua ya makundi CAFCL ni zipi?

    Kombe la Shirikisho Afrika
  13. Mzee23

    Timu zilizofuzu hatua ya makundi CAFCL ni zipi?

    Ligi ya mabingwa Afrika
  14. Mzee23

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kivumbi huko kenya.. dogo kabetia ada.. kaliwa. Anamdai mhindi[emoji2]
  15. Mzee23

    Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

    Mtafte huyo dada afunguke kiundani na ushahidi juu.. ili ithibitike pasi na shaka
  16. Mzee23

    Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

    Jamani hivi ile miradi ya umeme wa gesi ya kinyerezi 1 2 3 4 iliishia. Wapi?
  17. Mzee23

    Tanzania,Taifa Stars tunawakilisha

    tunajivunia
Back
Top Bottom