R.I.P Sajuki, Ben kiko, Mzee Small, Fredwaa,Issac Gamba, Samadu Hassan, Mohammed Dahman, Gadner G Habash, Koffi Annan, Ali Hassan Mwinyi, Robert Mugabe, Edward Lowassa, …
Ni muda wa SPACE & TIME kwenye football, Klop bado yupo kwenye SPEED & ENERGY.
Im out of Energy. Accepted.
Aje Amorim, leta Technical director wa maana”,. Tubadili upepo.
YNWA.
LAWAMA.
Kwanza nizipeleke kwa Klopp kisha wachezaji.
Kuna namna namuona Klopp yupo na sisi physically ila mentally kuna mahali yupo. Hii inachangiwa na kuondoka kwake kabla ya kuondoka. Atleast January to February kulikuwa na uhai ila kwa sasa, sioni rythym kwenye team, wachezaji hawana focus...
Dah.!! Mpira una ukatili kweli. Nilikuwa busy kwa muda nimepata muda wa kuja huku ila ndio nakuja kinyoooooooonge.
Greetings to y’all.
Anyway sitii neno 2nd leg mwezi March mpaka sasa tunacheza kama kukamilisha ratiba tu.
Ynwa
Richard Hughes (Sporting Director)+ Ruben Amorim (Currently Sporting CP Coach) litakufa jitu.
Ni data data. Ujue uwepo wa Edward soon utaona
Vvd
Salah
Trent nafsi zimetulia.
Jamaa anaka ufalme fulani ndani yake. Kana heshimika sana kwenye tasnia ya mpira hasa LFC
Clean. Nakumbuka Klopp aligongwa fainali wee mpaka siku alipojua fainali sio ligi one match then BOOM akabadili approach yake na imekubali.
Nafikiri test aliyoipata Anfield ndio imemuwasha kipara sana, game na Arsenal kitawaka sana.
Kama mie Arteta naenda kama Underdog, namuheshimu City...
Sijui kwa nini watu wanaona Arsenal ni mwepesi na hawezi kutwaa ubingwa. Historia ipo hapo ili kuvunjwa pia.
City msimu huu mechi nyingi hawashindi convincingly unlike last season. Bado Arsenal anaweza kubeba ubingwa vizuri sana, unavyoona Arsenal ana mechi ngumu, same na City na LFC tuna mechi...
Mie pia naiona hii mechi kuwa ngumu sio kwa ubora wa Man u bali upinzani wa jadi uliopo.
Everton as usual, bad lack tunamalizia away na hawa jamaa wawili. Ila ukomavu utaamua mechi hizi. Uzuri tutakuwa na full Squad kufikia huko.
We need Jota and Jones as early as possible.
Hii ndio ilifanya niamini kwa nini Salah hajaanzishwa pamoja na sababu nyingine.
Nahisi huwa ni tactical, plus luck pia, japo itategemea na mpinzani amekuja vipi. Na mara zote wapinzani kipindi cha kwanza huwa hawawezi kumaliza mechi.
I can promise you tutakuwa zaidi ya hapa mkuu.
Kuna makocha mbona huwa wanampa proper challange pep sema ndio sio timu za ubingwa. Nuno Espirito akiwa na Wolves wake katazame stats Pep kateseka nae. Nuno akaenda Spurs kamkanda pep H/A.
Ishu ni moja Edward akimalizana FSG basi mwakani...
New MF Impact. Sikumbuki ni lini tuliwahi kumuwin hivi kipara.
Kina Henderso, Milner walikuwa wanatuibia sana. Ukiwa na MF wazuri pep unammiliki vizuri tu. Remember Tuchel akiwa na Kante, Kovasic, Kipara alibutuliwa mechi tatu CL final, FA na EPL…!!! Mbinu nzuri, Mwl mzuri na wachezaji wazuri...
What a game very class game. Hadhi ya fainali ya Champions league [emoji91][emoji91]
Bradley
Quansah
Kelleher
Wamekwiva performance zao toka mwaka upinduke ni nzuri. Imagine umkose Matip & Konate kisha unapewa Quansah vs Alvarez,Silva,Foden, KDB unamkosa trent (ambaye defensively sijawahi...
What a game very class game. Hadhi ya fainali ya Champions league [emoji91][emoji91]
Bradley
Quansah
Kelleher
Wamekwiva performance zao toka mwaka upinduke ni nzuri. Imagine umkose Matip & Konate kisha unapewa Quansah vs Alvarez,Silva,Foden, KDB unamkosa trent (ambaye defensively sijawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.