Kwani haiwezi kubadilishwa na Rais mwingine?
Sijui sheria hivyo ila kama Rais anaweza kujitungia tu mambo na ikawa sheria basi Rais mwingine anaweza akaibadili pia
Kila mmoja ana uhuru wa kutoa maoni yake
Kwa yote uliyoyaandika nimeyaelewa ila siwezi kuongeza kitu maana umeisha niita mtoto mdogo mara sijui nini wakati inawezekana nakuzidi umri sana ila kwa kuwa hatujuani nimekuacha kama ulivyo
Mara nyingine kama umekwazika na comment za humu usimhukumu...
Amekanusha sana lakini mpaka picha zipo wakiwa na swahiba wake Jeffrey
Na bado alikanusha
Ingawa ni kipenzi cha Malkia ila ndio hivyo tena
Yaani vyeo vyote daa
Ubalozi wa Marekani umetoa mwelekezo mzuri sana na nini cha kufanya na kujilinda
Yaani mpaka wamesema wajiandae hata kuondoka na kwenda sehemu salama pia simu zao ziwe zimejaa na magari yawe tayari
Sasa kama kuna kitu kinatokea ni vizuri kuelezana mapema na sio kama kiongozi mmoja anasema
Eti...
Wenzetu wanahangaika kupata tiba za kila maradhi ila sisi kwanza lazima tubishe ndio tukubali baadae kama sio wale
Ni kawaida yetu kupinga na kuhoji sana ingawa ukiuliza chanjo wanazopewa watoto zimefanyiwa utafiti lini? Hutapata jibu
Na Oxford baada ya kufanikisha kutengeneza dawa ya Covid...
Bank waizi daa
Kuna haja gani ya Kuwa na Bank kama nchi?
Unaibiwa bank? Hii ni kashfa kubwa sana kama wenzetu mda huu kila sehemu ya dunia imechapishwa ila kwa sisi tunajionea kawaida tu
Tofauti ya Ulaji wa mbuzi na punda ni kuwa
Mbuzi anakula majani huku akihama na kwenda sehemu nyingine
Na Punda akila anang’oa mpaka mizizi akijua wengine wasikute kitu na hao ndio baadhi yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.