Search results

  1. jje's

    Happy birth day my love STUNTER

    Baby wangu mie, najua how busy you are and you insisted not to be too much in this social networking. I know how happy you are this special day and for sure it is for God's grace. Many more have wished to have even a birthday of one year with no success. Just know that nothing much you have...
  2. jje's

    Happy birthday baby STUNTER

    Hubby, bby, darling ooops my everything[emoji106] [emoji106] I don't wanna God to give u much but to give you what you deserve according to His will. No man shall go against God's will into your life. Isayah 54:17, I pray that you live happy and longer life and you shall testify of His goodness...
  3. jje's

    Girls and women, take it from me

    Hi there, Pls take it from me and have a good luck. 1. Success is not sexually transmitted, so stop sleeping with successful men and work hard. 2. Please do not wear the same weave for nine months, it's not pregnancy,. Atleast keep your natural hair. 3. You, half naked girls are hot, well...
  4. jje's

    Mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa

    Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa. Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya...
  5. jje's

    Kuna baadhi ya wanaume wanaongea sana/kujisifu

    Hawa wapo wengi ahadi lukuki, mimi nomaa, muulize flani, yule demu ananikumbuka mpaka leo Ah yule nilimpa vitu akakimbia...oh vilee tu machi perepepe! Mpe kinu, alime huu.. Mwanaume anayejisifu sana kwamba anajua vyenga kama Messi ukimpa penati anapaisha kama Nsajigwa kuwa nao makini, weka...
  6. jje's

    Something I found out today

    Fake friends are no different than shadows, they stick around during your brightest moments but disappear during darkest hours. Join me shout yeees if you agree with me.
  7. jje's

    I am tired of keeping it by myself

    Helo good People, Kuna mutu huku JF ananifurahishaga sana na comments zake though sizielewi vizuri maana anatumia lugha ya malkia. Huyu mutu sio mwingine bali ni Paulo Sergio De Souz, jaman jaman, when I see his posts I just feel waoooo, he knows how to respond to any thread that come around...
  8. jje's

    Wazazi hasa wa kike tuwe makini na wasichana wa kazi

    Kuna story moja ya kweli kabisa binti wa kazi/beki tatu alikuwa anamnywesha mtoto wa bosi wake viroba. Ni hivi mabosi ni wafanyakazi hivyo binti alikuwa akibaki home na mtoto peke yake. Baada ya muda alipata rafiki wa kiume na wakaanza relationship. Kwa kuwa mtoto alikuwa ni kikwazo aliamua...
  9. jje's

    God is good jamani, nimeona mkono wake

    Napenda kumtukuza Yesu wangu jamani amenitendea makuu, nimemwomba kitu jamani akanipa double double. Nisaidieni muungane nami siku ya leo kumtukuza. Read Numbers 23:19 to comfirm what am saying. I love you Jesus and am not afraid to say it.
  10. jje's

    Hivi inakuwaje unayempenda hakupendi, usiyempenda anakupenda?

    Naamini kwa kuwa wana JF ni ma great thinkers watanisaidia kwa hili, Yamenikuta mimi to be open. Hivi unawezaje kumudu hii hali??Unakuta jamani unaempenda hakupendi kama wewe unavyompenda(yaani % sawa) na vilevile ambaye humpendi ndo kwanza anakusumbua. Mimi hili swali naulizaga mara nyingi...
Back
Top Bottom