Search results

  1. R

    Wabunge wawili wa Viti Maalum CHADEMA wahamia NCCR Mageuzi

    VYAMA VYA UPINZANI HUSUSAN CHADEMA WANACHANGIA KUKIPAISHA CHAMA TAWALA.. THIS IS TOO MUCH. MJITAFAKARI MCHUKUE HATUA
  2. R

    Denmark yawatahadhirisha raia wake kuja Tanzania

    Kama alivyomaliza kutaka wasenge waowane hadhar Tanzania. .
  3. R

    Denmark yawatahadhirisha raia wake kuja Tanzania

    Anakuja Dar sasa shida yako imekwisha?
  4. R

    Madereva 21 kutoka Kenya na 1 kutoka Uganda wakutwa na COVID19 baada ya kupimwa na Tanzania mpakani Namanga, Arusha

    Ndio mawazo potofu ya watanzania wengi.. Sijasikia wakihoji yakifanywa na Jiran
  5. R

    AUSTRALIA: Watu 600,000 Wamepoteza ajira kutokana na janga la Corona

    Aache kijitapa yeye tajiri hali hawez hata kukabili dharura kama hii.
  6. R

    AUSTRALIA: Watu 600,000 Wamepoteza ajira kutokana na janga la Corona

    Unataarifa wantanzania wangapi hawana ajira kutokana na janga hili?..
  7. R

    CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

    Wao kama wanahisi Rais kadanganya. Waje na utafiti wao. Wachukue sample hizo wapime tupate majibu. Kusema vinafanya kazi vizuri haimanish kakanusha kua kua vinapima hata papai. Prove it. Pia Rais alitilia mashaka watu wa maabara. Some time there is a human error.
  8. R

    Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Naomba kuuliza uhusiano baina ya Tz Bara na Zanzibar kuhusiana na suala la Sukar. Tanzania bara sukar umekua adimu na ikipatikana inauzwa kwa bei ya juu sana. Zanzibar sukar inapatikana kwa bei ya chini sana kilo moja 1700-2000. Na huruhusiwi kuagiza sukar toka Zanzibar kwenda Dar zaid ya kilo...
  9. R

    Uchambuzi wa kauli ya raisi Magufuli kwa viongozi wa Dini katika muktadha wa COVID-19

    Kwasababu sijui utash wa Rais ktk iman ya Mungu wake, Lkn Nafasi ya Mungu Muumba inabaki palepale Muongozaj na Mmiliki wa yote. Huweza tegemea Mungu pekee kupambana na Corona. Mungu amekupa Nyenzo na vitendea kazi moja wapo akili,na mali, Hivo Lazima uvitumie ktk njia ambazo yeye Muumba...
  10. R

    Uchambuzi wa kauli ya raisi Magufuli kwa viongozi wa Dini katika muktadha wa COVID-19

    ACHA UVIVU WA KUSOMA NA KUTAFAKARI MTOA MADA AMEZUNGUMZIA TATIZO LA KUCHUA MSTAR MMOJAA NA KUANZA KUIMBA NAO BILA HATA KUUELEWA,UNAITWA UVIVU WA KUSOMA NA UVIVU WA KUTAFAKARI MTOA MADA KAGUSIA PEPO KWA IMAN YA WAISLAM NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAM HAYAFUNDISHI KUA LENGO LA KUKAA HAPO PALIPO...
  11. R

    Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

    CORONA HAIJAADHIRI WALIMU PEKEE NI IDARA ZOTE HUSUSAN SEKTA BINAFSI ZIMEADHIRIKA SANA, WENGI WAMEFUNGA BIASHARA HUSUSAN WANAOTEGEMEA USAFIRISHAJI (UTALII), UKISEMA LIPA ADA KWA SABABU SHULE ZIWEZ KUWALIPA WALIMU JE HUYO MZAZ AMBAE AMEFUKUZWA KAZI AU KUPEWA LIKIZO BILA MALIPO AU KULIPWA 30% YA...
  12. R

    Zanzibar kupiga marufuku ndizi toka Tanzania bara

    Yes i see, i just wanted to get more clarification. Naheshimu maamuzi ya mamlaka lkn nilishangaa ndizi nikidogo sana may be kuna hatari ndani yake. Lkn last week nimepita nazo airport sikuzuiwa. Ok let this go.
  13. R

    Zanzibar kupiga marufuku ndizi toka Tanzania bara

    Leo zimezuiwa ndizi zenye thamani ya Tzs 5,000/= Maafisa wamesema serikali imezuia uingizwaji wa ndizi toka bara sababu kuwa zina wadudu wanaosababisha maradhi. Hajafafanua maradhi hayo aina gani. Hivyo nimelazimika kuziacha bandarini chakula changu pendwa ndizi Bukoba. Naishauri Serikali ya...
Back
Top Bottom