Search results

  1. Jameel2013

    Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Mikopo ndio njia sahihi ya maendeleo isipo kuwa mikopo unayo chukua ni ya aina gani unayo pewa na inatumikaji kwenye maendeleo.
  2. Jameel2013

    FIFA yalaani mchoma nyama kulishika kombe la dunia

    Lazima wamachukie kwa sababu bei zake za nyama kubwa sn kwenye Restaurant zake sasa watu tuna tamani kula nyama zake lkn bei ndio kikwazo lazima ni kuchukie unauza nyama kama unauzia watu sijui kitu gani .
  3. Jameel2013

    National Sovereignty on Natural Resources in Africa

    Unacho sema sio kweli kaka hao WARAAB wanamiliki kila kitu kwenye sector ya energy hakuna Beberu wa nani na ndio maana wanajeuri hata kwa AMERICA na kupa mfano mmoja tu ARAMCO co ndio the richest company in the world ambayo inamilikiwa 99% Saudi Government hii ni Energy company mifano ipo mingi...
  4. Jameel2013

    Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

    Kupiga kura kuna saidia nini ? Na umewahi kutoka Nje ya Africa ?
  5. Jameel2013

    Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

    Ndugu yangu maisha ya sasa unahitaji kuwa open minded instead ya kuwa biased sababu dunia ya sasa inakwenda speed hasa ni ushauri na kupa.
  6. Jameel2013

    Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

    Qatar lengo Lao ni kijitangaza kibiashara na hilo wanakwenda kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sn kutokana na malengo waliye jiwekea hawakuanda world Cup kwa ajili ya kuonyesha wa sio magaidi wao wamefocus kwenye swala zima la kuifanya QATAR kuwa tourist destination kama ilivyo DUBAI. Ukija kwenye...
  7. Jameel2013

    Kwa msafara huu wa Rais, bado tuna safari ndefu

    System ya Ulinzi ni tofauti kabisa kati ya DUNIA ya kwanza na Dunia ya tatu ,pili System zao za utawala ni tofauti kabisa mfano mdogo na kupa huwezi kukuta Waziri Mkuu wa UK au Chancellor wa Germany au any Western countries leader anapo kwenda mahala fulani basi lazima mkuu wa majeshi awepo,Mkuu...
  8. Jameel2013

    Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    Wamechanganyikiwa (DENMARK) tayari na dhambi ya ubaguzi kawaida haimuachi mtu salama hata siku moja jamii yao inapungua kwa kasi 5G na wegeni wazaliana kupita kiasi.
  9. Jameel2013

    Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    Tanzania walitaifisha nyumba zote asilimia kubwa zilikuwa za wahindi japo zilikuwa na watu wengine lkn asilimia kubwa ni WAHINDI zikiwa chini ya Msajili wa Manyumba , lkn hadi leo hii NHC hakuna maendeleo yoyote wameonyesha zaidi ya matatizo na hasara.
  10. Jameel2013

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine inaenda kuwa kama Somalia tu na ndio Russia strategic planning yake RAIA mnaishi kwa wasi wasi hujui saa ngapi BOMU litalipuka na sehemu ipi ukweli Iran ndio imebadilsha sura nzima ya vita na Dron zake zina piga kelele kama engine ya pikipiki maana zikiwa zina kuja kama NYUKI na gharama...
  11. Jameel2013

    Mbarali: Ng'ombe zaidi ya 400 ambao ni mali ya Wananchi kupigwa mnada leo

    Watu weusi tuna shida kubwa sana siujui wapi tulikosea Mmungu atusamehe una mkuta mtu ana Ng'ombe na Mbuzi zaidi ya elf 3000 lkn maisha anayo ishi ni kama ndege anahama hama kila mahali kisa tu anatafuta Malisho na Maji huu ni uwendawazimu mkubwa kabisa sababu ukiangalia mifugo aliye kuwa nayo...
  12. Jameel2013

    Naomba msaada kuhusu umiliki wa hii mirathi ugawaji na haki zake

    Sheria ziko wazi mbona mrithi ni mtoto au watoto wa marehemu kama MAREHEMU hakuwa na watoto mali inarithiwa na wazazi wa marehemu kama BABA au MAMA kama wapo. Sasa hapo BIBI yako si ana watoto wawili aliye wazaa kimsingi ndio warithi halali wa nyumba ya BIBI yako na ndio wenye haki ya kurithi...
  13. Jameel2013

    Kampuni ya Precision Air ifungiwe na ifutwe, imejaa Damu na Dhuluma

    Hivi mamlaka ya hali hewa TZ huwa kazi yake nini? NDEGE ilipo kuwa inaondoka DAR ES SALAAM kuelekea BUKUBA MARUBANI hawa kuwa na Update yoyote ya hali hewa ?
  14. Jameel2013

    Naomba msaada kuhusu umiliki wa hii mirathi ugawaji na haki zake

    Mgawanyo upo wazi mbona hapo sema tamaa ndio italeta sintofahamu sababu mwanadamu kaumbwa na tamaa sn. Hapo warithi ni wawili tu watoto wa (BIBI) Mama Mkubwa na Mama Mdogo kwahiyo kama nyumba inauzwa mgawanyo ni mafungu mawili tu yanagawiwa Mama Mkubwa 50%, Mama Mdogo 50% kwihiyo sasa kama Mama...
  15. Jameel2013

    Moon Dubai: Hoteli ya kifahari yenye umbo la mwezi

    Ningeshauri kituo kimoja cha TV Tz kituo kipindi maalum kwa ajili ya United Arab Emirates UAE kuonyesha maendeleo waliyo yapata kwa kipindi kifupi zaidi kisicho zidi miaka 50 tu kutoka NCHI iliyekuwa Jangwa hadi kufikia kwenye level ya juu kabisa kimeendeleo itasaidia kuleta INSPIRATION kwa...
  16. Jameel2013

    Unafikiri nini chanzo cha umaskini Afrika?

    Huyo jamaa kumjibu una poteza energy yako bure anaonekana ni mtu asiye kuwa na upeo wowote ule na inaweza kuwa hana exposure ya maisha kabisa anaishi maisha ya kuambiwa tu.
  17. Jameel2013

    Mke wangu akiwa na stress huwa anatokwa povu na kupaparika kama kuku akilala

    Ulicho kiandika hapa kina akisi ulivyo muombe Mola wako akusamehe kwani ugonjwa wowote ule umtokea mtu yeyote yule regardless na status yake ya maisha.
  18. Jameel2013

    Vita ya urais kwa tiketi ya CCM ni kubwa

    Kwa Mtu aliyesafiri sehemu nyingi hasa AFRICA hii ya watu weusi unaweza kusema TANZANIA ilipo kuwa Awali na ilipo sasa imepiga hatua kubwa sn japo kuwa kuna mapungufu lkn ukweli imepiga hatua kubwa sana.
  19. Jameel2013

    Mkidharauliwa na ndugu huwa mnachukua hatua gani?

    Usipo kuwa na hela au kazi ya kukupa kipata sio ndugu zako tu wanakudharau hata Paka au Mbwa wanakufokea bila sababu hii ndio Dunia nakupa principle moja muhimu ukiishika hii utafanikiwa (Be self-fish and help yourself before others).
  20. Jameel2013

    Uislamu na Ukame/Deserts

    Ukisoma Comments za watu humu na huyu aliye leta maada hii utaelewa ya kwamba WATANZANIA wengi wanamatatizo ya Psychopaths wanahitaji matibabu otherwise tuendapo huko tutakuja kushuhudia taabia za ajabu ajabu hasa.
Back
Top Bottom