Search results

  1. zeus47

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hostel ipi mkuu?
  2. zeus47

    Ushauri: Nichague ipi kati ya BMW X3 2013 au Subaru Forester 2013

    Mkuu hapa mtu anayelipwa kuanzia 3M - 5M unadhani ndinga ipi itamfaa?
  3. zeus47

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Bei na channel ngapi?
  4. zeus47

    Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Naona unafikiria na makalio mkuu
  5. zeus47

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Usiendelee mkuu, huu muandiko ni mgumu sana.
  6. zeus47

    Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    Mkuu kati ya sehemu zote za msosi unataja KFC. Tafuta hela aisee
  7. zeus47

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Ni Master mkuu, jiko kwa mwisho kule.
  8. zeus47

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Mkuu choo kipo ndani humo humo upande wa kulia baada ya kitanda.
  9. zeus47

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Asante sana mkuu [emoji1545]
  10. zeus47

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Muhimuuuu
  11. zeus47

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Hii ni kweli mkuu. Kitanda changu kinaliwa na wadudu na hata sielewi wametoka wapi na wameingiaje. Nikipata hela nabadilisha kwakweli.
  12. zeus47

    Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Nilienda Jangwani kupiga paper enzi hizo natokea zangu JOZIPE, matokeo kutoka naona mwamba Sylvester kapiga 99%. Jamaa alikuwa fundi sanaaaaa
  13. zeus47

    'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

    Na wanapelekeana moto balaa madogo
  14. zeus47

    Machungu ya kukosa ajira

    Wengi tulipitia huko, ila Mungu alivyo mkubwa baada ya muda utajikuta una kazi nzuri, ghetto kali na account inahata visenti mbili tatu. I am a living testimony. Ushauri wangu kwako ni USIACHE KUSALI. MUNGU ANAJIBU
  15. zeus47

    Natafuta ajira

    Mkuu, ukiweza kuandika kiswahili fasaha itapendeza zaidi. Vitu vidogo kama hivyo vinaweza kukupeleka mbali.
  16. zeus47

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Ghetto limepata upgrade wadau (Samsung 55’). Mungu mkubwa.
  17. zeus47

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyu choko anayeleta mahubiri humu kwenye uzi wetu ebu mpeni ajira. Naona hana kazi zaidi ya kutujazia uzi wetu huu
Back
Top Bottom