Search results

  1. kamtesh

    Sote tumeshiriki kuua vyama vya upinzani

    Umenena ukwelu mtupu, tena kwa wasomi wetu na wachambuzi wetu ni hovyo kabisa. Nikusifia tuu kwa kwenda mbele kutafuta appointments na kiongozi mkuu. Bureeee kabisa wasomi wetu waliowengi.
  2. kamtesh

    Kuna Watu hapa nchini wameamua kuunga mkono uovu tu

    Ukiona wasomi washeria wazuri wanapotoshwa kisiasa jua nchi inatatizo kubwa la utendaji haki kwa Raia wake.
  3. kamtesh

    Kuna Watu hapa nchini wameamua kuunga mkono uovu tu

    Nchi kwa mwenendo huu utalaaniwa na hatuwezi fanikiwa. Uhuni, na ujambazi kwenye siasa haushindi kamwe. Unakua ushindi wa muda mfupi sana. Mwisho wa siku, haki hutawala. Hujuma ambayo CCM na Serikali yake inafanyia Upinzani haina maana hata kidogo. Walitaka chama kimoja Bungeni, wamepata...
  4. kamtesh

    Tusiwabeze wazungu, tunawahitaji na wanatuhitaji

    Kuitana Beberu sijui majina gani, haisaidii. Mbona tunasubiria takwimu zao kutuambia tumepanda au kushuka. Wakituambia tupo uchumi wakati sasa, nishangwe kila kona. Ila wakituambia hatuna Demokrasia, tunanuna na kuanza kuwatukana. Tukitaka Ndege, tunawafuata wao, tukitaka uchimbaji twawahitaji...
  5. kamtesh

    Uchaguzi mmeshinda inavyoonekana na tayari alishaapishwa Rais. Sasa acheni hizi sarakasi za kufukuzana na wapinzani

    Siasa mwisho wasiku tuanze kuuwana kwa lipi. Maana mwenye hati miliki wa nchi na mbingu yupo, siasa sisi visasi vya nini sie ni wapita njia tuuuuuu!
  6. kamtesh

    Uchaguzi mmeshinda inavyoonekana na tayari alishaapishwa Rais. Sasa acheni hizi sarakasi za kufukuzana na wapinzani

    Uchaguzi mmeshinda inavyoonekana, na tayari alisha apishwa Rais. Sasa acheni hizi sarakasi za kufukuzana na wapinzani, Lissu anadai kuna njama dhidi ya uhai wake, acheni hàyo. CCM ni chama makini, mulishavuka siasa za kihuni, ebu muacheni Lissu na viongozi wote wa vyama vya upinzani watembee...
  7. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

    Wajua kuna mambo hupashwi kutumia nguvu. At some point Raila mwaka 1997, akajiunga na KANU, alijiunga na KANU kwa maksudi fulani. Kilichotekea KANU iko wapi?
  8. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

    Huyu binti aende akawatetee wananchi wake. Mbona wakati ule palikuwa Dr Slaa, Zitto Kabwe na wengine hawakufika 5, Bunge lilikua moto tuu. Huyu mmoja na wa CUF watapiga kelele tuu na kuitoa usingizini CCM. Riziki yake huyu Mbuge muachieni. Ni maisha yake na ajira yake. Asipoenda munaongeza...
  9. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Tusiwalaumu sana TBC, Star TV, Channel 10, ETV na wengineo

    Ni aibu ya Karine na wanajipambanua sana kwamba wanapendwa na wala wanachama milioni 16 sijui kwa takwimu zipi hizo maana ccm haijawahi shinda kura zaidi ya milioni 10 hata siku moja.
  10. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Tusiwalaumu sana TBC, Star TV, Channel 10, ETV na wengineo

    Nadhani walibanwa mno, na ukiangalia uongozi wao utajua kwanini? Hata nyuso za watangazaji, ilikua unaona kabisa hawana raha kushindwa kutangaza taarifa za upinzani. Ilikua unaona kabisa nini kilichikuwepo nyuma ya pazia. Hata NEC haikukemea vyombo vya habari hususani Runinga kushindwa...
  11. kamtesh

    Rais kutudanganya kwamba miradi inajengwa na pesa za ndani

    Sikiliza kauli za viongozi na kiongozi mkuu ndugu. Kupenda kuvutia mamba kwao. Shida iko wapi kusema kwa wananchi kwamba tumekopa kiasi fulani ndani ya miaka Kitano na hela zimefanya moja mbili tatu. Maana mwisho wasiku nideni la Taifa sio deni la ccm wala Magu. Hizi kauli hela ipo serekali ina...
  12. kamtesh

    Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu

    Wananchi ccm waliotemwa na NEC ya ccm kugombea
  13. kamtesh

    Lissu kua mwisho kwenye karatasi ya mpiga kura ni baraka sana

    Wa mwisho ndo mshindi. Wanchi waambiwe tuu na kuelimishwa tuu, ya kwamba ukombozi upo mwisho na akatiki ndani ya kisanduku tuu. Tiki yake isije tokea nje, ukitoka kura itakua imeharibika. Oparesheni mbunguza kuharibika kwa kura ianze leo. Mifano itolewe ya kura halali. Tumemuona Zungu...
  14. kamtesh

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Sumbawanga kuomba kura za Ubunge kwa kutaja miradi ya Ubungo Interchange, flyover za Dar na ukuta wa Mererani

    Matatizo ya nchi sio wananchi wenyewe kwa kujitakia. Tena naona nikama chama tawala kilikua kinaufanya mtaji, umbumbu wa watanzania. Watanzania wameendeshwa kweli na kudharauliwa sana. Kazi kwenu watanzania
Back
Top Bottom