Search results

  1. C

    Wataalam wa Kiswahili

    Habari wenzangu, Nina swali juu ya kiswahili ifuatayo: (1) Je, kuna mtihani ya kiswahili ya kuthibitisha kiwango cha lugha? Kwa mfano kwa kiingereza huwa TOELF ama IELTS zinatumika. Pengine kifaransa kina mitihani yake ya DELF ama DALF. Je, Kiswahili kina nayo pia inayotambuliwa na wengi?
  2. C

    Utafsiri na maoni yako juu wimbo huu ya Sauti Sol

    Si mmesikia wimbo mpya wa Sauti Sol - Tujiangalie? Naona huu wimbo una maana nyingi juu ya historia na mwelekezo wa Kenya. Kuna mtu hapa mstadi wa Kiingereza ambaye anaweza kujaribu tafsiri wimbo huu uwe kiingereza? Pia toa maoni juu ya siasa inayoelezwa hapa kulingana na fikra zako Ifuatayo...
  3. C

    Saidia waswahili uarabuni

    Sasa nimekuwa nasafiri uarabuni nikipata shida nyingi ya lugha. Najua kiswahili na kiarabu vinafanana kwa hivyo naomba watu nisaidie maneno yaliyo takriban yaleyale kwa hizi lugha mbili... Maanake naona itakuwa rahisi zaidi nikumbushe hayo maneno kwa kiarabu. Wasemaji wa kiarabu nisaidieni!
  4. C

    Naomba tafsiri

    Kuna mtu ambaye anaweza kutafsiri maneno hayo: "It has been a long time since I have seen you" "Wow long time no see" ama kwa kifaransa "Ca fait longtemps qu'on se voit" Asante sana waswahili. Pia swali la mwisho... kuna tofauti kati ya nimekosa na nimekosea... tofauti gani? Asante tena
  5. C

    Jameeni, Maana ya kusepa?

    Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni
  6. C

    Siku za mbele kwa Kiswahili - Maoni

    Mara kwa mara nawaza ya kwamba hii lugha itaendelea vipi? Tayari imeharibika sana Kenya. itaendelea kwa nguvu kwa Tanzania? Itaenea Afrika Mashariki? Ama watu ya hii jumuiya watakiacha kiswahili baada ya miaka mingi? Maoni yako? Jadili. Mimi ni mzungu ningependa kuona lugha ya kiafrika...
  7. C

    Namna ya kufupisha hii lugha

    Mambo. Mimi ni msomaji wa kiswahili na nataka kujua vile watu wanaongea barabarani. Ni noma kusoma hii lugha kisanifu halafu kwenda nje kugundua kwamba inatumika tofauti kabisa. Kwa mfano maneno mengi hufupisha... kama hivi: kutafuta inatamka "kutafta" kushutaki inatamka "kushtaki" Kwa...
  8. C

    Shida ya gari au lugha? Nisaidieni

    Mambo, Ningependa kuuliza maswali kuhusi misamiati ya kutengenza magari. Mimi ni msomaji wa kiswahili lakini nimeshindwa kuwaelezea mafundi shida zangu. Kwa mfano naomba usaidizi ya kutafsiri misemo hii kwa kiswahili: "My car won't start" "The battery does not have enough power/energy to...
  9. C

    Maana ya neno "addiction" kwa Kiswahili

    Je, Kuna neno moja kumaanisha "addiction" au "addict" kwa kiswahili? Kwa mfano ni kama mtu ambaye huwa anahitaji kilevi au kitu chengine sana na hawezi kataa kisaikolojia. Bado natafuta neno. Naomba usaidizi.
Back
Top Bottom