Search results

  1. Akida MALCOLM X

    Natafuta mchumba

    Habari za wakati, kama mada inavyo jieleza. Mimi ni baba wa Kiislam, mwenye miaka 38, nina mke na watoto watatu. Natafuta mwanamke mjane wa Kiislam, anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka 32, akiwa na mtoto au asiye na mtoto, awe mrefu, si mnene sana wala mwembamba sana. Sichagui rangi...
  2. Akida MALCOLM X

    Natafuta Kiwanja,Mzumbe Morogoro!

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu! Nahitaji Kiwanja katika Kata ya Mzumbe wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya ujenzi wa makazi! Bei isiwe zaidi ya milioni moja na laki mbili! Nawasilisha!
  3. Akida MALCOLM X

    Nyenzo yetu, Kesho yetu!

    "Education is the passport to the future,for tommorow belongs to those who prepare for it today-Malcolm X!" Kila nikiangalia mwenendo wa sekta yetu ya Elimu naikumbuka kauli husika! Ni suala lililo wazi,hakuna nyumbani zaidi ya Tanzania. Hili ni jahazi letu ingawa wahuni wachache wanaishi...
  4. Akida MALCOLM X

    Walimu Wilaya ya Uvinza: Mkurugenzi umetuibia Mishahara ya madaraja mapya?

    Rais Kikwete, Ongea na wateule wako! Naandika haya kwa uchungu mkubwa! Sisi Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Idara ya Msingi! Tulipandishwa madaraja mapya toka tarehe 1/6/2014! Barua tumepewa mwezi wa tisa,na mabadiriko yakaanza effectively mwisho wa mwezi wa kumi kwa baadhi tu! Wenye...
Back
Top Bottom