Akida MALCOLM X
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 497
- 464
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu! Nahitaji Kiwanja katika Kata ya Mzumbe wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya ujenzi wa makazi! Bei isiwe zaidi ya milioni moja na laki mbili! Nawasilisha!