Search results

  1. Akida MALCOLM X

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Dodoma Makao Makuu ya Nchi,inahudumia Halmashauri 184,i.e Watumishi wa Hizo Halmashauri karibia Kila siku wapo safarini kwenda Dodoma,wanakula,wanalala,wananunua zawadi za wapendwa wao! Jumlisha Wafanyakazi wa Wizara,jumlisha Wanachuo wa UDOM,Mipango,St John,CBE,jumlisha Vyuo Vingine vya...
  2. Akida MALCOLM X

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Lakini kigezo kikuu Cha uwepo wa Soko ni Population! Na Vijana ambao obviously wengi ni Wafanyabiashara waso na mitaji mikubwa,Dar ndo destination haswaa! Mfano ukifungua Duka la nafaka, Sababu Kuna Watu wengi wenye kipato Cha kawaida,Utauza!
  3. Akida MALCOLM X

    Zifahamu Wilaya 82 za Tanzania Bara zenye idadi kubwa ya watu

    Paragraph ya Mwisho Kabla hujaleta Takwimu,umeandika zifuatazo ni Wilaya zenye Watu Wengi Tanzania Bara!
  4. Akida MALCOLM X

    Zifahamu Wilaya 82 za Tanzania Bara zenye idadi kubwa ya watu

    Unazungumzia Wilaya,huku ukilenga Halmashauri za Wilaya!
  5. Akida MALCOLM X

    Zifahamu Wilaya 82 za Tanzania Bara zenye idadi kubwa ya watu

    Na Kwa Nyongeza,Wilaya inaweza kuwa na Halmashauri Zaidi ya Moja,wakati haiwezekani Halmashauri ya Wilaya ikawa na Halmashauri Zaidi ya Moja!
  6. Akida MALCOLM X

    Zifahamu Wilaya 82 za Tanzania Bara zenye idadi kubwa ya watu

    Wilaya na Halmashauri ya Wilaya ni Vitu Viwili tofauti,Wilaya ni Mamlaka ya Serikali Kuu,wakati Halmashauri ni Mamlaka ya Serikali za Mitaa!
  7. Akida MALCOLM X

    Zifahamu Wilaya 82 za Tanzania Bara zenye idadi kubwa ya watu

    Ungesema Halmashauri za Wilaya/Vijijini zenye Watu Wengi,ila ukiishia Wilaya tu,Kwa Mfano wa Geita,itabidi uchukue Watu wa Geita Mjini plus wa Geita Vijijini,the same Kwa Tarime etc.
Back
Top Bottom