Namshukuru Mungu kwa kupata japo kipande Cha mkate,
ASANTE mleta mada, humu Kuna watu masikio yao hayasikii na macho yao hayaoni ,
Wamefumbwa ,
Mungu anisaidie niombee Hili jambo
Sis wenye akili smart ndo tunabaki apa Africa especially Tanzania, tunaijenga ili wajukuu zako waje wapende kuishia apa
Maana ata uko unakosema ni pazuri hapakushushwa toka mbinguni,
Kuna watu walibaki pale wakaamua kupajenga Leo wewe unapaita pazuri ,
Sema Nini !
liFe hAs opTionS,
We nenda...
Mshilikishe Mungu yaan mpe yesu maisha yako , okoka
Changamoto lazima upitie ili ujue au uwe sharp minded, kwenye maeneo flan flan,
Mtoto mdogo anapojifunza kutembea, ni lazima aanguke,
Sasa sio kila shimo lazima uangukie mfano,
Kubet
Wanawake
Pombe
Hayo unayaona kbsa Ila angukia kwenye vitu...
Ata Adam alipewa bustan ailime na iatunze, wewe unataka upate Hela tu ,hujui ata huo uzima ni Mungu ndo amekupa, kuhusu kutibiwa na wahindi , unamaanisha Mungu hakukutibu
Ngoja uumwe Tena best
Huna akili kichwani, yaan Hiko kichwa kimebeba macho tu ata ubongo hakuna , Hiko kichwa ni adhabu kwa mwili,
Catholic Wana mashamba maheka na maheka ,..
Mashule, vitega uchumi kibao huna akili huoni chochote, Ila tunashukuru kwa Tangazo lako maana wengine hatukua tunajua,
KKKT Wana mashamba...
Huo huo ualim Kuna watu wametoboa na mshahara kiduchi Ina depends on how una changa karata zako, police nao Wana lalamika hata wabunge,
Ok hongera lakin kwa kupata kazi mpya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.