Search results

  1. Faru12

    Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

    Njoo PM, kama bado unauhitaji wakujifunza French.
  2. Faru12

    Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

    Kabla yayote, Magari yoteya Abiria na Malori yawekew speed lemit, kama wanavo fanya South Africa. Hapo sasa safari zausiku zinaweza ruhsiwa!
  3. Faru12

    Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Alhaji mzima, ukarudi kwenye madawa tena? Kweli kazi na iendeleye!!
  4. Faru12

    Nimeacha rasmi kuweka status WhatsApp kwa sababu hii

    Kwani WhatsApp wenyew wanasemaje??
  5. Faru12

    Wanajeshi wakitizama wavuvi wanavyovuta ndege kwa kamba

    Wanajeshi wenye vitambi wanapatika Tz pekee.
  6. Faru12

    Naomba kujuzwa namna ya kubadili usajili wagari ndogo kutoka Burundi, to Tanzania

    Asante sana mkuu kwa mchango wako.nitalifanyiya kazi...
  7. Faru12

    Jinsi ya kubadilisha namba ya gari

    Garama zakuisajili upya inaweza ikifika kiasi gani mkuu? Kwa gari ndogo cc1500
  8. Faru12

    Naomba kujuzwa namna ya kubadili usajili wagari ndogo kutoka Burundi, to Tanzania

    Heshima kwenu wanajukwaa, naomba muongozo kwayeyote mwenye uelewa... Kuna gari ndogo cc1500 natarajia mwisho wamwezi huu itoke inchini burundi kuja hapa Tanzania, isajiliwe upya hapa Tz, sasa sijui wapi nianzie... Nilipenda kufaham ma2, 3... (1)garama za TRA. (2)pale Border kahama kipi...
  9. Faru12

    Changamoto za kumiliki gari "unique"

    Mkuu hii gari napanga kuinunuwa mwisho wamwezi huu. Naomba unipe mawili matatu kuhusu hii gari tafathali.
  10. Faru12

    Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Asante mkuu kwa elimu nzuri sana... Mimi nilikuwa naswali, kuna gari ndogo nimenunua kutoka Rwanda... Sasa sijafaham kipi kitahitajika hadi gari kufika hapa Tz hadi kusajiliwa kwagari. Document zipi zitahitajika pinditu nafika border? Msaada wenu wakuu.
  11. Faru12

    Ashikiliwa na jeshi la polisi kwa kumnajisi Mbuzi ( Meee )

    Ushirikina or matatizo ya akili vinahusika.
  12. Faru12

    Dada wa kazi ya saluni ya kike

    Kama hujapata ni PM, nikuunganishe na mtu.
  13. Faru12

    Mfanyakazi wa salon ya kike anahitajika Buza kwa Mpalange

    Ni Pm, yupo mdada anatafuta kazi hiyo.
  14. Faru12

    Lifahamu jeshi la Israel na MOSAD

    Wela link kwafaida ya wengi
  15. Faru12

    Msaada kuhusu leseni ya udereva iliyokwisha muda wake

    Poa poa mkuu, asante kwa ufafanuzi.
  16. Faru12

    Msaada kuhusu leseni ya udereva iliyokwisha muda wake

    Eti kiongozi, nilazima ubebe Tin Number, ao kitambulisho cha Nida?? Ao iyoiyo lesseni inatosha?? Naomba ufafanuzi.
Back
Top Bottom