Search results

  1. hope 2

    UPDATE Maandalizi ya maziko ya Kardinali Rugambwa kesho

    Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo. Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?
  2. hope 2

    UPDATE Maandalizi ya maziko ya Kardinali Rugambwa kesho

    Atazikwa ndani ya kanisa mkuu? au sijaelewa? sio kwamba huduma ya kuaga mwili itafanyika hapo kanisa tajwa?
  3. hope 2

    Why upungufu wa nguvu za kiume tu?

    Si bora wewe unaweza dk 15, kuna wengine dk 5 hawawezi
  4. hope 2

    Tahadhari: Mtandao wa tigo siyo salama, umeingiliwa na matapeli.

    Mkuu, maelezo yako yako wazi na hatua zote ulizochukua umeziweka wazi. nakushauri nenda TCRA kutoa malalamiko yako hayo, kama una mda wafungulie kesi Tigo, naamini utashinda na utapata mshiko wako vizuri tu. ninachofahamu ni kwamba, hamna mtu anayeweza kufanya SIM swap kama sio muajiriwa wa...
  5. hope 2

    toyota rav4 for sale.

    Ya Mwaka gani Mkuu. Weka picha.
  6. hope 2

    Mahawara wanasana Guest house

    Haya kamweleze Adam Malima....
  7. hope 2

    Bikira miaka 30

    Mkuu, mimi nilikaa na Bikira kwa miaka 27, ilitolewa na Mume ninayeishi naye pamoja na kwamba hakuweza kusubiri mpaka siku ya ndoa. Ukweli ni kwamba, siku ya kwanza unaumia sana. Mimi ilinijengea hofu fulani kwamba kufanya mapenzi kunaumiza, na niliweza kuondoa hiyo dhana baada ya zaidi ya mwaka...
  8. hope 2

    Ana face Paper Ngumu sana..

    Umeachana na X and Y, sasa hivi umehamia kwa R and Q? Pole sana, utavuna ulichopanda..sioni kama una haja ya kuoa wakati bado wewe ni player Boy. Unalofanya sasa linaweza kufanya maisha yako yote yakawa ya majuto na yasiyo na amani. Hivi huyo R unayetaka kumuoa, siku ukijua nae ana mshikaji...
  9. hope 2

    wanawake wanaosema NO, wamekwenda wapi siku hizi?

    Hapo kwenye red: sio wa aina yote. Njoo kwangu uone kama natongozeka.
  10. hope 2

    Wasichana Punguzeni Kucha

    Kanyoeni Mavu $%^z yenu ya kwapana ndio mje hapa na mada za kucha. Hilo ndio umeliona tu, hujaona tatizo la soksi kuteleza kwenye viatu?
  11. hope 2

    How many sex partners have you had?

    Mmoja tu na ndio mume wangu..
  12. hope 2

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    There you are.. Am facing the same issue and i was about kuomba ushauri hapa, sio tu kwamba nakua sina hamu ya kufanya mapenzi ila hata ile hali ya upendo imepungua. Distance relationship/marriage ni mbaya mno. Mtoa mada badala ya kumfikiria mkeo kua anaku-cheat, tafuta namna ya kumpenda na...
  13. hope 2

    Unachangia Mada au Unatetea ujinsia?

    Its simple, "Take care to get what you like or you will be forced to like what you get.."
  14. hope 2

    Unachangia Mada au Unatetea ujinsia?

    Tatizo lenu mnapenda kutendewa mema ila sio kutenda. Na kila siku mmekua mnaweka mada za kuwalaumu wanawake, mara wanawake hivi, mara vile hadi mnaudhi... Utadhani Mwamamke ndio mkosaji na ndio anatakiwa kufundishwa tu katika jamii...Ebo..! Kama upo kwenye ndoa au mahusiano...
  15. hope 2

    kwanini wanawake wengi wapatapo kazi hudharau waume zao?

    Asante sana Carmel..hawa wanaume ndio walivyo, hawataki changamoto...
  16. hope 2

    kwanini wanawake wengi wapatapo kazi hudharau waume zao?

    Hujiamini tu... Tatizo mnapenda sana kuabudiwa, mnapenda mara zote wanawake wawe chini ya miguu yenu kuomba na kubembeleza ili muwapangie na kuwanyanyasa mnanyotaka. Nyumba ya aina hiyo mwanamke hana nafasi ya kuamua wala kupanga chochote ila Mme, sababu ana hela. Mwsnsmke anapopata hela na...
  17. hope 2

    Ushauri tafadhali nataka kulinda ndoa, kazi kikwazo kikubwa

    Mkuu, umeongea maneno ya ukweli, mazito na yenye maana kubwa kwa wanandoa. Barikiwa.
  18. hope 2

    Girlz..be smart bana....

    Hiyo imani yako inakuruhusu kutongoza mwanamke/Mdada wakati una mke/mchumba itakuruhusu tu koa mke zaidi ya mmoja. Acheni upumbavu nyie wanaume, kama una mke kwa nini unaenda kuhangaika? Wengine hata kama wana pete za ndoa wanadiriki kuzivua wakati wakiwa mawindoni..Ridhikeni na wake zenu...
  19. hope 2

    Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

    Utampata atakeyekua mwaminifu na kukupenda kweli tu usikate tamaa. Kwangu mimi, kipato has nothing to do with Mapenzi. Mtu anayependa kweli hela sio tatizo, hata njaa mtalala na atakua mwaminifu.
  20. hope 2

    Ukiwa na tabia hizi jua mwenzio anakereka!

    Uchafu.. na kutokua makini kwenye mipangilio ya vitu. Unaweza kuja ukakuta kiatu juu ya friji(joking....) hasa kwa ile jinsia nyingine
Back
Top Bottom