Search results

  1. mgosi9

    Breaking News; Lowassa Aibukia Jamiiforums

    Anataka kujua shida za WanaJF wote. Kama una shida yoyote weka hapa itamfikia. WanaJF, hii ni zamu yenu kueleza shida zenu.
  2. mgosi9

    Mpaka Sasa Ni Majina Gani Lowassa Hajaitwa.

    Lowassa Kaitwa Fisadi Papa Amekaa Kimya, Lowassa Kaitwa Mpumbavu Bado Kakaa Kimya, Kaitwa Lofa Bado Yupo Kimya, Kaitwa Kapi Na Oil Chafu Akakaa Kimya Na Leo Hii Anaitwa Msanii. Majina Yote Machafu Aliyopewa Lowassa Na Bado Amekaa Kimya Watu Hamuoni Aibu! Mwogopeni Mungu Lowassa Ni Binadamu Bana.
  3. mgosi9

    Hakuwahi kucheka tokea azaliwe

    Nilipewa mtihani wa kumchekesha jamaa mmoja ambaye hajawahi kucheka toka azaliwe. Nikawaza, nifanyeje hadi acheke!? Nikamfuata jamaa nikamuuliza ni chama gani kitashinda mwaka huu akasema ni UKAWA, nikamwambia katika uchaguzi mwaka huu CCM lazima washinde, jamaa kusikia hivyo alicheka hadi...
  4. mgosi9

    Swali la kipima joto iTV

    Kwa mara ya kwanza ITV hawajatoa majibu ya swali la kipima joto sijui kwa nini?
  5. mgosi9

    msaada kuhusu songea boys

    habari wana jf wote mnaoifahamu songea boys high school naomba mnijuze
  6. mgosi9

    Nimeshindwa kumwelewa Magufuli kwa hili

    Habari Ndg wana jf. Nimekuwa nafuatilia mikutano ya mgombea urais wa CCM ndugu Magufuli.Kila akipita kwenye mikutano yake utasikia "Nilichukua fomu kimya kimya, nilitangaza nia kimya kimya, nikarudisha fomu kimya kimya na nikatafuta wazamini kimya kimya." Hivi kwa kusema hivi anamaanisha nini...
  7. mgosi9

    Mbwembwe nyingi kumbe ndani uko hivi!

    mtu unakuwa na mbwembwe nyingi, ubishi mwingi kumbe huko ndani uko hivi!
  8. mgosi9

    Breaking News

    A man killed himself and ran away. photos coming soon.....
  9. mgosi9

    Mbwembwe nyingi kumbe uko hivi!

    mtu unakuwa na mbwembwe nyingi na ubishi mwingi kumbe ndani uko hivi!?
  10. mgosi9

    Topic; Tunga sentensi yenye maana kwa kutumia...

    Habari wana jf karibuni kwenye mchezo wa kutunga sentensi kwa kutumia Id zetu. Atakayetunga sentensi nyingi zaidi ndiye mshindi na zisijirudie. Naanza; 1. Ritz ukikaidi utapigwa2. endeleeni....
  11. mgosi9

    Technolojia mpya

    Ukimeza kanda unajamba muziki.
  12. mgosi9

    wazima nyie?

    shikamoo wakubwa. naomba nafasi jamvini.
Back
Top Bottom