Search results

  1. M

    Mauaji ndani ya msikiti wa Chumo

    Kweli kabisa. "Mkesha" kawaida hufanyika mchana.
  2. M

    Counter: 'Wakazi wa Dar' wapanga kuandamana kumpongeza Rais Magufuli

    Aisifuye mvua imemnyeshea Hao sio wenzako, wao wanaifaidi keki ya Taifa wanakula kwa mikono miwili
  3. M

    Rais Magufuli awakemea TRA kwa kuwanyanyasa wafanyabiashara kwa kisingizio cha kodi

    Mkuu, sema tumebadilishana vyoo: Wa kiume kaingia cha kike Wa kike kaingia cha kiume
  4. M

    Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Salaam wanajf .<br />Naomba msaada kwa tatizo hili:<br />PC aina Acer aspire ES-512 ilizimika baada ya umeme kukatika.<br />Umeme uliporudi nimeichaji lakini imekataa kuwaka kwa kutumia power on switch.<br />Je kuna namna nyingine ya kuiwasha>Tafadhali nisaidie
  5. M

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Labda amekwenda KUSOMA huko India,msishangae kumwona/kusikia anarudi na PhD yake
  6. M

    Ukombozi wa kweli utaanzia na kufanikiwa ndani ya CCM. Nje ya CCM zitakuwa ni harakati.

    CCM Hakuna watu. Tafakari : Sehemu zote walipotoka madiwani au wabunge kumuunga mkono Rais ,Uchaguzi uliporudiwa ni akina Nani waliteuliwa kugombea nafasi ziloachwa wazi?
  7. M

    To be honest, kwa hili Rais ataipeleka nchi kusikojulikana. Sera ya viwanda inayeyuka!

    Dr . Mpango. ! ? Sijakuelewa una maanisha Dr Mpango Hana alichokifanya/anachokifanya?
  8. M

    To be honest, kwa hili Rais ataipeleka nchi kusikojulikana. Sera ya viwanda inayeyuka!

    Hivi tuendavyo , labda tusubiri 2200 sio 2020
  9. M

    Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

    Hawa " waliolost" ndio kila kukicha tunasikia wamehamia chama fulani kuunga mkono juhudi za..... Wakifika huko wanawakuta mpo mpo tu wanapita katika chaguzi kwa vishindo
  10. M

    Maono - Watajaribu kuzima mitandao kuelekea 26/4/2018

    Mambo (maneno) kama hayo ndiyo yanasababisha chuki na maandamano.CHADEMA SIO WATANZANIA?
Back
Top Bottom