Inasikitisha sana. Tatizo tunawachagua watu wasiotujali hata kidogo. Najiuliza wako wapi viongozi wetu tunaowapamba kila siku majukwaani kuwaita waheshimiwa, Wapendwa. Tunawapa shahada za udaktari na uprofesa wasiousomea ili watuhudumie kwa upendo. Tunawapa ulinzi na kuwapisha barabarani wawahi...
Aisee hawa ni viongozi wa ajabu sana. Watanzania wooooote wanajua msimamo wa wazanzibari kuhusu muungano hata mtoto wa darasa la kwanza. Huu ukigeugeu artificial utawafanya wageuke mawe
Napata tabu sana kwa sababu inaonekana mjadala mkubwa umewekwa kwenye suala la muungano na serekali 3. Hata wasomi wamezama katika jadala huu wakati ambapo katiba ni ki2 kikubwa zaidi ya muungano. Mijadala mingine yenye faida kwa nchi imewekwa pembeni kabisa. Inaelekea wajanja wamefanya hivyo...
Nilijua wakenya watapata tabu sana na hizi kesi. Nina hakika wangejua wasinjechagua hawa jamaa. Ikulu mahali patakatifu, haiitaji mtu anayeandamwa na kesi hata kama ni ya kuhisi tu. Ona sasa wanavyopata tabu
Warioba yuko sahihi kabisa. Anachofanya warioba ni kutoa na kutetea maoni ya wananchi aliyoyakusanya. Serikali 3 hajasema warioba, Hayo ni maoni ya wananchi, Wanaotaka sereikali 3 waitetee kwa hoja sio kwa nguvu. Tatizo ni kwamba sasa hatuna viongozi wenye ushawishi wa kutetea hoja na ndio maana...
Ingawa sijawahi kupitia mikononi mwake kimatibabu lakini nilimuenzi sana na kusema kweli hizi ni habari za kusikitisha sana. Mungu amlaze pema paradiso
Hakuna wakati taifa letu limechanganyikiwa kama sasa. Fikiria walioidhinisha matokeo ndio wanaotengua wakingali madarakani. Ilikuwaje Lukuvi atoe tamko la wizara ya elimu wakati waziri husika na naibu wake wako. Mimi nilidhani walishajiuzulu. Mwenyekiti wa NECTA na Katibu mtendaji kama...
Hakuna kitu kinaniudhi kama viongozi wetu wanaposema eti tuvumiliane. Huwa najiuliza, Tunavumiliana nini? Askofu akiingia kanisani akahubiri habari za Kristo kwa wakristo kuna tatizo? Kama hakuna.... kuna cha kuvumilia? Shekh akiingia msikitini kuhubiri mtume wake kwa waislamu wenzake kakosea...
Ole wao siku mkono wa Bwana utakapoanguka juu yao. Itakuwa kilio na kusaga meno. Wenye akili tunaendelea kusali, Kumbuka akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie na la kushoto. Wanaitafuta hasira ya Bwana. Mimi naogopa sana
Nitasikitika ssana nikiona tena Kenya inaingia matatani shauri ya wanasiasa, Sijui tutatumia utaratibu gani wa kupata vuingozi bila siasa, Nimeichukua siasa sana shauri ya WANASIASA
Nasikitika sana m2 mwenye tuhuma kuingia ikulu hata kama masingiziwa. (Kumbuka ikulu ni mahali patakatifu). Ucheleweshaji wa kura ni hatari sana mahali popote. Ndio maana wenzetu hawachelewi kupongezana mara anapoona mwenzake kashinda maana anona uhalali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.