Search results

  1. M

    Msafara wa Magufuli ni kufuru, hauakisi ubanaji wa Matumizi

    Huo msafara ni mdogo sana kwa ule wa Makonda akiwa ziarani Dar es Salaam
  2. M

    Ukweli kuhusu Papa "kuruhusu talaka" kwa ndoa za kanisa katoliki

    Kuna watu wababaishaji sana nchi hii. Unaandika habari hata haujui chochote. Eti habari inaandika "Vatican City" halafu source yake ni BBC. Niliwaonea huruma sana huyu mwandishi, mhariri wake na mmiliki/wamiliki wa gazeti hilo. Wana safari ndefu sana kufikia malengo yao
  3. M

    Ukweli kuhusu Papa "kuruhusu talaka" kwa ndoa za kanisa katoliki

    Hiyo ni kwa mujibu wa democrasia ya kichwa chako. Mambo ya Ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Wewe endelea kujitwalia na kuweka ndani kwa kadri unavyoweza
  4. M

    Nani mmiliki halali wa Clouds Media Group?

    Wengi mnapiga bla bla tu hamjui mmiliki/wamiliki mnadakia juu kwa juu. Halafu hii ni Clouds Media Group ina maana chini yake kunaweza kuwa na several companies zenye different ownerships. Kwanini tuamini kama ni Kusaga's just because ndiyo tunawasikia na wasiwe watu wengine. Mnaweza kutoa...
  5. M

    Simba fukuza kocha haraka sana

    Ndiyo, kandanda la kuvutia tuliliona jana Mbeya na mkapata point zenu za kutosha -3
  6. M

    Kanisa Katoliki limekuwa tumaini kuu kwa masikini, yatima na wenye njaa. Ingawa kuna wanaolibeza

    Una uhakika mkuu? Ancient Roman Empire ni tofauti kabisa na Catholic Church. Soma vizuri historia. Hebu soma link hii utapata japo kidogo ufahamu The Roman Empire and the Vatican - Vatican Articles
  7. M

    Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Acha upuuzi. Ndiyo abakwe hadi kufa? Hivi unadhani kifo kwa tendo hilo unaona ni kitu kidogo hivyo. Ni unyama mkubwa sana ambao mnatetea. Hakuna sababu yoyote kubwa ya kuhalalisha kuondoa uhai wa mtu kwa njia kama hizi
  8. M

    Waziri Mwijage : Ni kweli hali ya uchumi ni mbaya

    52,000 kila kiwanda kimoja kikitoa wastani wa ajira 100 ni wananchi 5,200,000 watakuwa wameajiriwa. Hapo bado kuna sector nyingine. Tatizo la ajira liko wapi? Huyu anahesabu hata vile vya kufunga ubuyu, korosho na karanga
  9. M

    Mkurugenzi wa jiji la Arusha amvaa RC Gambo kuhusu matumizi ya fedha

    Hii ndiyo njia ya mwendokasi ya kukataa maagizo ya wakubwa
  10. M

    Mkurugenzi wa jiji la Arusha amvaa RC Gambo kuhusu matumizi ya fedha

    Mkurugenzi anacheza "mind and safe game" Kamkatalia mkuu wa mkoa. Kavujisha taarifa ili apate nafasi ya utetezi wa wananchi kwa yale anayoagiza mkuu kinyume cha taratibu, katengeneza mechanism fake ya kupiga kura kubaini waliovujisha siri ili mkuu wa mkoa ajue yuko pamoja naye na mwisho anamwita...
  11. M

    Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

    Lugha yenyewe unayotumia yanaonyesha unahitaji roho wa Bwana akuongoze. Hivi unadhani Mungu ni kama Magufuli pale Ikulu?
  12. M

    Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

    Yesu si binadamu ni Mungu Yohane 1:1-4. Na kwa kuwa ni Mungu hakuwa na sababu ya kujionyesha yeye bali kutimiza mapenzi ya Mungu Baba. Hakutaka kujitukuza yeye "... mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo" Hayo mambo yenu ya "Mtanijua mimi ni nani" mtabaki nayo ninyi...
  13. M

    UDART yapiga marufuku polisi, viongozi, walimu na walemavu kupanda bure

    Ni kweli inabidi wafikirie namna nyingine ya kuwasaidia walemavu kama kutengenezewa card maalum na uwepo udhibiti wake kwa wasiokuwa walengwa. Lakini kwa utaratibu wa kufungua mageti kwa ajili yao polisi na wajeda watatumia loophole hiyo.
  14. M

    Hadi sasa Mawaziri hawa ' nawapongeza ' ila kwa hawa ' mmmmh.. '

    Hata mimi namwona huyu ni mbabaishaji
  15. M

    Rais Magufuli: Shetani wa Tanzania ni TANESCO

    Bora wewe hata wamekuruhusu kulipia. Mwanza eneo la Kadinda mita kama 500+ kutoka makao makuu ya Wilaya ya Ilemela watu wameomba umeme tangu mwaka 2012 kila siku ni story tu. Ni makazi mapya na kuna wateja karibu 100 sasa. Ukisikiliza story zao zinakera kweli
  16. M

    TCU: Hii imekaaje..!?

    Una matatizo. Kama mwanafunzi mwenyewe ndiyo wa hivi ndiyo maana hawakukuchagua
  17. M

    Waziri wa Ardhi, William Lukuvi atishia kujiuzulu, athibitisha mkewe kung'oka ATCL

    Wewe ni mgeni Tanzania? Kaitishe mkutano umkosoe ukione cha moto. Huku kwenyewe tunatafutana na bado wakishuka wale malaika wa kufunga mitandao
  18. M

    Waziri wa Ardhi, William Lukuvi atishia kujiuzulu, athibitisha mkewe kung'oka ATCL

    Kilichotokea sidhani cha kiungwana hasa ukizingatia anayemwongelea. Rais si wa kuongelea familia ya waziri kama vile. Kumshangaa mke wa Waziri kufanya kazi kwenye shirika linalopata hasara na kukaribia kufa ni kumaanisha kwamba alitakiwa kuona fursa kwenye mashirika yenye fedha ambayo wakubwa...
Back
Top Bottom