Search results

  1. joseph1989

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Ndio ipo hivyo ukweli mchungu ambao unaumiza.Hawa Marioo wanapitia magumu sana ila hawasemi.
  2. joseph1989

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Bora umetusaidia maana daah huyo uliyo reply comment yake anapenda ligi.........
  3. joseph1989

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Una option mbili either kuoa mama wa nyumbani au ukiwa muoga oa mwenye hela zake ila husimpangie na swala la utii sahau. Mwanamke ni mbinafsi kwenye hela yake na hela yake ni chungu haijawahi kuwa tamu.
  4. joseph1989

    Mbunge Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumfukuza January Makamba Tanesco, amehusika na ufisadi wa kutisha

    Anawachokoza wenye chama chao, huyu jamaa sijui kama atarudi bungeni. Hatuja zoea siasa za kujibizana kwa hoja.
  5. joseph1989

    Ukiwa mpambanaji kuwa makini na idadi kubwa ya wapenzi watakufilisi

    Ndio tabu ya kuithaminisha ngono kwa fedha na haya yote wameyataka dada zangu,unatokngozwa siku ya kwanza gas imeisha,kodi unadaiwa,screen ya simu inavunjika,unadaiwa mchango nk na bado hapo ana presha za kila za vikoba na michezo majina matatu,ambazo anataka zisolvie na huyo mwanaume. Hii...
  6. joseph1989

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Hivi unamjua Twisa ww? Mwanaume kamili hazai hovyo hovyo.
  7. joseph1989

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Chizi anafurahisha akiwa wa Jirani yako,kwani lazima uzae nae. Unamjua Kevin Twisa yule kagonga sana Mamiss wa waliokuwa wakishiriki Miss Tanzania,enzi hizo akiwa Vodacom kama mkuu wa kitengo cha mauzo na hajawazalisha hovyo. Mbona ngozi kama hizo hata sisi tunagonga,hila hatuna ulimbukeni...
  8. joseph1989

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Unatimiza majukumu yako ya kuwalea na kuwapa mahitaji yao ya msingi. Ila ukitaka kujua uchungu wanao pitia wazazi wa single mother, hata mabroo wa single siku ikikutokea kwa binti yako ambaye yupo kwenye himaya yako. Wanaume tunapenda ngono, ila tujitahidi kujizuia kuzaa hovyo hovyo na...
  9. joseph1989

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Kwenye hivi viwanja ni kutumia vizuri chance zitakazo patikana kupitia kona au faulo basi.
  10. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Nilijua utapotokea niliexpect hilo,unaangalia mziki vipi wakati ushasema walimbania,leo amekuwa mpuuzi wakati MWANZO UKISEMA INDUSTRY INAMTEGEMEA YY,sasa mtuu awe mpuuzi halafu INDUSTRY imtegemee.Huoni wewe ndiyo mpuuzi kwa hizi statements zako. Yaani unaona jamaa atumie hela zake kwenye mziki...
  11. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Yale yale wewe nawe team Harmo ndio maana ukaongia kwenye mumbo wa kusema wamembania Halafu unasema "GAME INAMTEGEMEA " inamaana Mondi akiacha bongo fleva inapotea. Yaani atumie hela zake kufanya Charity ya kumbeba kila msanii. Nimekuuliza ungekuwa ww ungefanya kama anavyofanya...
  12. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Uhalisia upi? Hivi kuna mtu utamzuia kulalamika, mbona yy alisha lalamikiwa na Angela,Chid na mwenzake?
  13. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Hivi ninaposema system hazipo Transparent unaelewa maana yake? Wewe unazani nani anaye takiwa kujenga system imara? Mbona nilikuambia mfumo wa Naija na wakwetu tofauti nilikuelezea, naija msanii anakuwa ila mifumo ipo huku.Huku kwenu hamna husifananishe wala kulingaisha Industry ya Naija na...
  14. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Hamna label inayofanya hivyo duniani hamna sio Charity label zote zinaangalia faida. Hamna mwekezaji atamuonea wivu mtu anaye ingimuingizia hela hayupo.Sema hivi vimaneno vya waswahili,msanii akishaanza kung'aa ndivyo vinawafanya wengi wanye mioyo ya kuanzisha label kuachana nayo.
  15. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Ipo wazi wapi US mziki ukipigwa kwenye radio,TV na sehemu za Starehe unalipwa ,kwenu huku mnafanya hivyo ma je system ipo transparent?Unafananisha industry ambayo ina njia nyingi za kuingiza hela na hii ya kwenu ya kuungaunga.
  16. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Yaani unafanaisha ulaya na bongo, ambapo huo mziki wenyewe still bado watu wanahangaika kuujenga ktk misingi ya kibiashara.
  17. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Wanambania vip ?,wakati mtu anategemea faida kutoka kwake. kumbe na ww ni mswahili ina maana Ibrah Konde anabaniwa..... Ndio maana nilikuambia AY,Ommy na FA hawapendi haya maneno ya kwenu ndio maana hela zao wameamua kufanyia mengine. Sometimes bora ile hela ya Harmo angeenda kulia bata au hata...
  18. joseph1989

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Wanafanya nao ila kwa mbinde,hata Airtime hawapati kivile.
  19. joseph1989

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Nachokaga unakuta binti mdogo anazaa na mume wa mtu halafu anabattle na mwanamke mweny mume. Huwaga na jiuliza anajiamini nini.
Back
Top Bottom