Search results

  1. mtoto mpole

    Mambo madogo madogo 30 yavunjayo ndoa

    Zote sina ila 18 inanihusu sana...God helo me yooooh
  2. mtoto mpole

    Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

    Waiiiii sio kipaumbele kwa sasa..atushukuru thru media hiyo budget aelekeze sehem ingine
  3. mtoto mpole

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Ifanye itoke uiiiiiw.....fanya tu iharibike your hubby is most important person kuliko unavyofikiria...
  4. mtoto mpole

    Ipi njia nzuri ya kumfikisha mkeo kileleni?

    Haasaaa ana balaa hatariii hahahah
  5. mtoto mpole

    Namuunga mkono John Mnyika kupeleka tena hoja binafsi juu ya Tegeta Escrow

    Huyu mnyika 2020 asirudi kibamba akatafute jimbo jipya....anaanzaje na ya tanzania kabla hajamaliza ya kimbamba...hatujamtuma vya escrow sisi.
  6. mtoto mpole

    Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

    Aisee yaan wanajizika mchana peupe kabisaaa..uiiiw hiv chadema yote hamna majembe ya kuperfom hizo kazi mpaka makapi ya CCM... duuuh polen sana
  7. mtoto mpole

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kama akili zao zipo kama zako wanafeli kiukweli..kwan kwenye kusahihisha ni yeye anasahihisha??
  8. mtoto mpole

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Mbona diallo mwenyewe hakunyosha mkono...wewe nani wa kumsemea
  9. mtoto mpole

    Mungu anisamehe ila kwa hili lazima nikufanyizie

    Duuh unamuaminije mtu kirahisi hivo...duuub
  10. mtoto mpole

    Kumbe mamlaka ya juu inamuogopa Lowassa kiasi hiki!?

    Kwanini haukumtangaza...acha mihemkooo na kudandia tren kwa mbele
  11. mtoto mpole

    Wadada wengi mjini wana pesa, maisha mazuri, magari, wamesoma lakini hawaolewi

    Wanawake wengi siku hizi wa mjini hasa wanaojiweza hawataki mambo ya kuolewa
  12. mtoto mpole

    Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

    Hahahahahaha haijapata kutokea afu hao hao ndo wamemchinja...kweli kikulachooooo....chenga za magu...white hair haziwezi asubiri 2025
  13. mtoto mpole

    HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    Usikate tamaa labda kuna vitu haukamilishi baadhi ya requirement...
  14. mtoto mpole

    Lowassa kutoa tamko zito Jumamosi katika Ufunguzi wa Kampeni Jijini la Arusha

    Hamna jipya najuta kumpigia kura yangu....
  15. mtoto mpole

    Kuitwa kwenye Usaili, Shirika la Viwango Tanzania

    Gender imbalance...haiko sawa hii Mh.Magu fanya kupita hapo TBS
  16. mtoto mpole

    Wachawi wamemchukua mwanangu

    Sio mungu ni Mungu
  17. mtoto mpole

    Kama si Mbowe, basi mtoto wa Mbowe, kama si Kafulila, basi mjukuu wa Kafulila n.k

    Hiv kabla ya mbowe na lissu hakukua na watu...hawa wakiacha kuna wengine wapo na watakuja...msitulishe matango pori hapaaa
Back
Top Bottom