Search results

  1. navache

    Jamaa yangu amedhurumiwa kwenye upatu, kwanini watu hawajifunzi?

    Umenikumbusha jamaa yangu mwaka jana walienda na m5 yake
  2. navache

    Upotoshaji na uongo wa huyu Mchina siwezi kuukalia kimya

    Lakini kapigilia msumari wa ukweli. Sema tu hatupendi kuambiwa ukweli
  3. navache

    Wahudumu wa mikopo ya mitandaoni walinipigia kabla ya muda wa marejesho nikawaambia kuwa sitawalipa kwakuwa wameniletea usumbufu. Sijawalipa

    Mimi pia walinikera sana..nilikuwa kwenye mchakato wa kuwalipa, lakini kwa usumbufu, dharau, jeuri, vitisho na blabla zao nikawaambia waendelee na mikwara yao, mimi sitishwi na mikwara. Laki mbili yao....sijaguswa kuwalipa
  4. navache

    Wakuu, mke wangu nimemchoka

    Kama zaramo kawaida yao...tena huko kwao ni kwa bwana zake
  5. navache

    Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    Vyakula vyako na vinywaji vyako ndiyo wabaya wako nambari moja. Ukiweza kutawala ulaji wako tatito lako limekwisha. Jiangalie ulaji wako na unywaji wako. Kuna vitu kama wali, chips, nyama, soda/juice, enegy, bia, nk.. Kama unatumia sana anzia hapo kurekebisha. NB; HUWA NAAMINI NI UPUMBAVU...
  6. navache

    Ni mara ya pili sasa nachapiwa

    Ulichojibu siyo ulichoulizwa. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kufika kileleni kwa mwanaume na kufika kileleni kwa mwanamke. Unaweza dhani kumwaga mara nyingi ndo kumfikisha mwanamke, kumbe siyo. Hakikisha amekojoa! Hata kma unaenda round moja. La sivyo hata umwage mara kumi atakuona boya tu.
  7. navache

    Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Umenikumbusha nyumbani. Ulichosema ni kweli, maeneo hayo kwa ukimwi ni noma. Miaka ya 2000 nimeshuhudia watu wakifa kwa ukimwi kwa speed ya hatari tena wale wanakonda hadi unawaogopa. Nilishuhudia binamu yangu ukimwi ukimmaliza, nikashuhudia uncle nae akiondoka ukiachilia majirani. Pia kila...
  8. navache

    USHABIKI WA VIFO: Taifa lilipofika inahitaji jitihada za makusudi kulirudisha kwenye mstari

    Jambo la msingi tukumbuke binadamu wote ni wahanga wa kifo. Kushangilia kifo cha mwana ccm ni upumbavu, kushangilia kifo cha mwana chadema ni upumbavu, kushangilia kifo cha msoga camp ni upumbavu, kushangilia kifo cha team jpm ni upumbavu, kushangilia kifo cha muislam ni upumbavu kama ulivyo...
  9. navache

    Tundu Lissu: Wale wabunge 19 wasio na chama wamelipwa tsh 8 billion kwa miaka 3, tulifikiri ni Wabunge wa Magufuli kumbe ni wa Rais Samia!

    Chadema unafiki utawamaliza. Unafiki unafiki unafiki. Laiti wangekuwa na kauli moja wangebaki salama, lakini undumilakuwili wanauenzi mno, na ndiyo maana wataendelea kugalagazwa na CCM mpaka wapoteane. 2025 itathibitisha niyasemayo
  10. navache

    Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    mimi niliacha ajira ya ualimu nikiwa na take home ya mwezi mmoja, na sijawahi juta kuingia kwenye kilimo. Nadhani nafsi yake bado haijawa na nia ya kuacha ualimu
  11. navache

    Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Unamaanisha kwamba hajui hesabu au. Yani mtu anamiliki trekta na ekari zote hizo, tena umesema kuna mvua ya uhakika. Amevuna guni ulizotaja na baada ya kuuza kapata pesa inayozidi kiinua mgongo cha mwalimu kwa sasa. Halafu bado hajajua afanye nini? Ama kweli akili ni nywele, kila mmoja kapewa...
  12. navache

    Hali ni mbaya, waziri Bashe chukua hatua

    Acha "demand and supply" systeam iamue bei. Wakulima tunanaonewa sana. Hivi unajua gharama za kilimo?
  13. navache

    Kilimo cha nyanya kinalipa, elimu ya kilimo ni ndogo

    Suala la joto si tatizo sana, Nyanya zinapenda joto na zinastawi vizuri karibia miezi yote ya mwaka japo january~march itakubidi upambane haswa maana joto linakuwa juu sana. Suala la bei ya nyanya sokoni june 2023 libaki kitendawili, mvua zinazoendelea kunyesha bado zinaendelea kuamua bei iweje...
  14. navache

    Ingia 2023 na Siri ya kutunza Siri ili malengo yako yasiharibike tena

    Umenibariki sana. Ujumbe wenye ukweli mtupu
  15. navache

    Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Binafsi ninawaheshimu sana wachaga, kiasi kwamba kuna wakati nilitamani nioe mchaga nipate changanya damu kwa wanangu but it was not my lucky... Lakini napambana mpaka kieleweke. Tena nimejiapiza nisipopata hizo siri za wachaga.. Basi nitajiundia siri zangu na ninaona tumaini mbele yangu
  16. navache

    Natoa bure shamba la kulima

    Wanaohofia hoja ya mtoa mada pole yao. Tuache mazoea, kupewa shamba la kulima bure kwa kisarawe ni kawaida. Unaambiwa lima, ukichoka liache. Mimi binafsi nipo arround mazingira uliyotaja na nimekabidhiwa zaidi ya ekari tano napambana nazo mpaka muda huu mwaka wa tatu sasa. Nimeruhusiwa kupanda...
Back
Top Bottom