Nimepoteza a year’s worth of savings kwa ajili ya hii kitu, leo nime hakikisha nime futa mpaka banking apps zote ili nisifanye deposit yoyote. Ni kama naanza upya kila kitu.
[emoji28] umeanza vizuri sana, anyways kama ni bahati nahisi mambo yangu makubwa maishani mwangu yame kuja kwa bahati bahati sana na huwa najihisi kama na bahati sana maishani. Asante kwa ushauri ndugu.
Hii mada ya inflation huwa ndo kimbilio la watu wengi ku discourage watu kufanya investment kwenye bonds, mutual funds, fixed accs and the likes.
Watu wamekaa miaka 7 hawajapandishiwa mishahara wamepambana na inflation na maisha yamesonga kwa mshahara same wa miaka 7.
Inflation is part of the...
Kabisa, the interview I did tuseme 50% ya waliopata wote ni fresh graduates maana mambo bado yako kichwani.
Ni ngumu sana kwa graduate wa nyuma kidogo ku cope up na speed na requirements za written interview ya utumishi, ile ni vita!!
Nadhani kujiamini na kujibu kwa ufasaha maswali ndo dhana kuu, na yote haya yanakuja kwa maandalizi bora kabla ya interview.
Mara nyingi maswali ya oral hawaendi nje kabisa ya vitu flani basic vya course yako na vile vya job description kwa hiyo mostly wana try kupima kujiamini kwako...
Kulikua na usimamizi mbovu siku ya written, mtihani ulikua mrefu na dakika ni chache. Watu walikua kwenye formation zao mimi nilikaa mbali nazo nili andika what i know licha ya kila muda nilikua naona wenzangu wakiwa wana andika vitu vingi zaidi yangu na tofauti zaidi yangu so nili amini zaidi...
Cha msingi ni ku fight kuingia Oral. The rest will follow. Ila amini iko siku mambo yatajipa. Nimefanya Interview na watu walikua eliminated kwenye written mbili ila this time wame kula kitengo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.