Search results

  1. Diplomat Niwe

    Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Hiyo ni nyingine walifanyia DSM
  2. Diplomat Niwe

    Uteuzi: Dkt. Said Ally Mohamed ateuliwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Nchini

    Hii ni kweli kabisa, samahani naomba uangalie mkeka wa watu walioitwa kazini TRA 27/02. Naona udini uko mahala pake kwa sasa
  3. Diplomat Niwe

    Utaratibu unaotakiwa kufuatwa kupata hatimiliki

    Asante sana, huu mchakato mzima unaweza kuchukua siku ngapi kukamilika?
  4. Diplomat Niwe

    Msaada mwenye Charger ya PC MacBook

    Kariakoo mwaka jana nilinunua 45k mpya kabisa japo sio Og ila inafanya kazi vizuri, Nenda Opposite na Mkombozi bank
  5. Diplomat Niwe

    Maambukizi mapya ya VVU yazidi kupungua nchini

    Data zenyewe ni upishi tu mwanzo mwisho na hizi NGOs zetu
  6. Diplomat Niwe

    Bachelor of public health

    Jaribu Uganda na Kenya vyuo ni vingi
  7. Diplomat Niwe

    Naomba ushauri kwenye hizo programs nilizochagua

    weka ufahulu wako tujue tunakushauri vipi!
  8. Diplomat Niwe

    Vyeti vyangu vina majina mawili, NIDA ina majina matatu

    Kama anatumia majina mawili mfano, ASHA JUMA (vyeti vyote) na NIDA inasoma ASHA JUMA RWEYEMAMU hii haina hata haja ya viapo vya sijui wizara ya ardhi.
  9. Diplomat Niwe

    Medical Doctor - Re-Advertised at Maternity Africa

    waliopo wengi wanakosa huo uzoefu wa miaka 3
  10. Diplomat Niwe

    MDH kimyaaa au mshawekana kindugu

    Ndo aongoze wanaomzidi elimu, uzoefu na uwezo wa kazi?
  11. Diplomat Niwe

    MDH kimyaaa au mshawekana kindugu

    Hii ni kweli top management vimejaa vidada tena vingi vina diploma tu
  12. Diplomat Niwe

    Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT ) jirekebisheni, mnakera sana

    Hizo CPD zao unafanya point hawaweki kwenye profile hata u-claim aje! na mara kibao unatuma email hawajibu, simu hawapokei!
  13. Diplomat Niwe

    Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

    Pia usisahau TANAPA na Ngorongoro
  14. Diplomat Niwe

    Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Natamani kuchangia hii mada ila naona imejaa ushabiki sana! CO na MD lao ni moja, majukumu ya kazi yanafanana, Bodi ya kuwasimamia ni moja, kiufupi kazini huwezi kuona tofauti yao wakiwa kwenye majukumu yao ya kawaida! MD tofauti yake na CO ni Level ya Elimu na si vinginevyo! Kama ni issue ya...
  15. Diplomat Niwe

    Kaliua Saga: Vita ya Madaraka na uhuni wa wahuni

    Tahora tena kw majungu
  16. Diplomat Niwe

    Msimamo wa Rais Dkt Magufuli dhidi ya ugonjwa wa Corona ndio ulikuwa mpango wa Mungu kwa Afrika

    Dini zenyewe ni mapokeo ya haohao waliotengeneza chanjo! Ila mnajikuta wajuaji sana! Haya yote ni serikali inakwepa majukumu yake ya msingi kulinda Afya za wananchi wake😢 Leo hii, hata ARVs zikiacha kupokelewa kwa msaada (likawa jukumu la serikali kununua) nakuhakikishia nyie wapuuzi mtakuja...
  17. Diplomat Niwe

    Nini faida ya kuwa Mpagani?

    Tatizo sio kuwa mpagani!!, Tatizo ni kwenda kanisani for fashion😀 YAANI TATIZO KUBWA NI KUWA NDUMILAKUWILI
  18. Diplomat Niwe

    Wakuu nisome vipi ili nifaulu Anatomy? Niko Clinical Medicine, somo lina mambo kibao. Nisomeje wakuu?

    Pharmacy naona hata ambao hawakusoma Physics siku hizi wanakuwa admitted kusoma Diploma kabisa😭😭😭
  19. Diplomat Niwe

    Uongozi wa Chuo cha Afya Tanga, fanyeni kazi kwa weledi

    Wazee wa Lawama kazini😂 1. Vyuo vya Afya vya serikali vyote, mwanafunzi anajitegemea chakula 2. Vyuo vya Afya vyote vya Umma ambavyo viko chini ya wizara ya Afya, Joining Instructions zinafanana kila kitu 3. BIMA (NHIF) ndo kwanza vyuo vimefunguliwa November ushaanza kulalamika muda huu? 4...
Back
Top Bottom