Search results

  1. E

    Msaada Ngazi za Mishahra kwa wanataaluma Senior lecturer na Associate proffesor SAUT

    Kwa yeyote anayejua kwa sasa ngazi za Mishahara kwa wanataaluma waliotajwa hapo juu kwenye vyuo vikuu vya SAUT namuomba anirushie.
  2. E

    Wanawake kukaa uchi chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume.

    Kama hiyo theory ya mtoa mda ingekuwa sahihi basi madaktariwa kiume wa fani ya gynacology wangekuwa hawaoi.
  3. E

    Waliopata sufuri darasa la saba katika Hisabati

    Ninaomba msaada, kama mtu anafahamu wapi naweza kupata takwimu za asilimia ngapi ya watainiwa wa darasa la saba, walijinyakulia sufuri katika somo la hisabati kimkoa hapa tanzania kwa miaka mitano iliyopita anitonye.
  4. E

    Chumba kinapangishwa

    Chumba kimoja kwenye nyumba ya vyumba sita vya wapangaji kinapangishwa eneo la sinza Block C walking distance toka Chuo Kikuu cha Da res salaam. Kodi ni shilingi za Tanzania hamsini elfu kwa mwezi. Kinawafaa zaidi wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Kama unakihitaji piga simu namba 0713...
  5. E

    Engine 12R ya Toyota Hilux Pickup Inauzwa

    Nina Engine 12R ya Toyota Hilux ambayo nataka kuiuza. Haina starter wala carburreter yeyote anayeihitaji au anajua muhitaji anijulishe. unaweza kunitumia email kwenye address yangu ambayo ni alphonce@maths.udsm.ac.tz au kunipigia simu 0713344431. Bei ni maelewano.
Back
Top Bottom