Search results

  1. Bugududu Sududu

    Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    Starlet Glanza v milango 3 manual transmission
  2. Bugududu Sududu

    Ajali ya Ally's ni uzembe wa dereva, uzembe wa mamlaka na kiburi cha waendesha Train

    Ninavyodhani mie kuna vifo,majeruhi na manusura. Inawezekana hiyo idadi isiyoonekana labda ipo kwenye manusura Maana ukiangalia sehemu ya nyuma ya Basi wala haijaharibika sana.
  3. Bugududu Sududu

    Ajali ya Ally's ni uzembe wa dereva, uzembe wa mamlaka na kiburi cha waendesha Train

    Hiyo basi imegongwa na treni,ila kwa tafsiri ya sheria yao ni kwamba basi ndio limegonga treni,lakini kiuharisia ukiangalia basi limegongwa eneo la ubavuni,bila shaka alikuwa katikati ya reli Pasua kichwa;Hii kusema kuwa treni haikuwasha taa wala kupiga honi kwa mazingira ya kawaida injini ya...
  4. Bugududu Sududu

    LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Unalipa nauli pesa nyingi afu kuchimba dawa unaambiwa dakika 10,Bora tujitafutie hata IST cha kusafiria hata kama itachukua siku 2 na mafuta ya laki na nusu Unakuwa free na unaenjoy safari,tukifika shelui tunashuka na kuwa salimia wananchi,
  5. Bugududu Sududu

    LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Kwahiyo wamesubiria December ndio wamepandisha nauli,Naona sasa imekuwa tatizo
  6. Bugududu Sududu

    SoC01 Fahari ya majina yetu ya asili Tanzania imekwenda wapi?

    Wamasai na wamang'ati wapo sawa kabisaa Sendeu,
  7. Bugududu Sududu

    Nawaza kuacha kazi, naona sihitajiki na kampuni ninayofanyia kazi

    Hauna mkataba? sasa mshahara unashushwaje?
  8. Bugududu Sududu

    Mawaziri waliokalia kuti kavu

    waziri Ummi atolewe amezoea kuleta taharuki kwa watoto wa Mama
  9. Bugududu Sududu

    Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga

    Waambie hao waingie kwenye huo msikiti uliopo kwenye hiyo jezi waswali rakaa mbili Kwanza, afu ndio tuendelee na mujaddala
  10. Bugududu Sududu

    Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

    Pesa wanazo ila wanawapatia makasisi wao mfano kina Malisa, mwamposa na TB Joshua kwa Nigeria n.k
  11. Bugududu Sududu

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Kwani Kuna waliosomea kuwa wa kuu wa mikoa? in Magufuli voice. Katika watanzania takribani million 45 kumrudisha chalamila kwanini husijaribu na watu wengine uone ufanisi wao?
  12. Bugududu Sududu

    CCM acheni siasa kwenye suala la Sensa 2022

    Sipo tayari kuhesabiwa Full stop
  13. Bugududu Sududu

    Mradi usioeleweka Mwanza

    Mgodi mixer huduma za watoto na kina mama mixer ukimwi dah!, hii ni kachumbali hakuna Mgodi wa hivyo Mwambie rafiki yako yeye ndio mgodi/mradi
  14. Bugududu Sududu

    Whatsapp account yangu imeibiwa Kuna mtu mwingine ambaye anaitumia

    Habarini wanajukwaa Samahani, ninaomba msaada kwa mwenye kujua, maana hii account inaonekana inawatumia watu sms za kazi ambayo malipo yake kwa siku ni 50,000 kitu ambacho si kweli ni utapeli. Samahani mwenye kujua jinsi ya kuondosha hili jambo anisaidie tafadhali
  15. Bugududu Sududu

    Mama N'tilie Rwanda ni wasafi kuliko Mama Ntilie wa Tanzania

    Basi huwe unaenda kula Kigali Kisha unarudi kulala chanika
  16. Bugududu Sududu

    SWALI: Mahari ni malipo ama ni zawadi?

    Mkuu ile sio zawadi ya walio mlea ni zawadi ya muolewaji, nae muolewaji ndio ataamua kama kuwapa Asante wazazi wake kwa kuwapa hiyo mahari
Back
Top Bottom