Search results

  1. UKAWAA

    Vodacom mmesababisha ndugu yangu kufariki, nawaletea maiti ofisini

    Naandika haya kwa uchungu dhidi ya huu mtandao wa vodacom.Tarehe 25/4 saa 7 na robo mchana nilipigiwa simu dada kazidiwa tena kutoka kwa majirani, niliwaomba watafute gari wamkimbize hospital mimi niombe ruhusu kibaruani nitawakuta huko. Kwenye akaunti yangu ya mpesa nilikuwa nina 416,000 tena...
  2. UKAWAA

    Nahitaji mashine ya kuoshea magari

    Habari wadau,niko mbioni kufungua car wash yenye kuhudumia magari madogo na pikipiki,nahitaji msaada wenu nitapata wapi mashine nzuri za kuoshea(pressure machine)hatakama used bei zake zikoje na ukubwa upi utanifaa kwa kazi hiyo.wenyeuelewa nisaidieni na hata kama kuna changamoto na mengineyo ya...
  3. UKAWAA

    Soma hapa

    NUNDOS INVESTMENT AND CLEANING SOLUTION LIMITED:, Ni kampuni iliyosajiliwa na uzoefu wa kutosha katika huduma za usafi katika maeneo mbalimbali kama >ofisini >nyumbani >hospitalin >hotelin na kwenye kumbi mbalimbali. Kampuni inawataalamu wa kutosha na vifaa vya kisasa vya kufanyia usafi...
  4. UKAWAA

    Msaada wenu Njiwa wanaharibu nyumba

    wanajukwaa naomba msaada wenu,hapa kwangu kuna kundi kubwa la njiwa lilihamia taklibani miezi 6 iliyopita nikaamini wanapita tu,sasa hivi wamezaliana mamia wameanza kuaribu gypsum na nyumba kwa ujumla.naomba msaada il wahame
  5. UKAWAA

    niuzie gari

    Habari wadau natafuta gari ya kununua aina ya vits dau langu mil 4.5
  6. UKAWAA

    Nipokeeni mgeni

    Wapendwa mimi mgeni natafuta wenyeji wa humu ndani
Back
Top Bottom