Search results

  1. JM Aristotle

    wajanja night has been ended!!

    dah! mie hata sina hamu... walishanzoesha vibaya...:(
  2. JM Aristotle

    Blogs zimekuwa kero Tanzania

    Yeah! Hilo ni tatizo kubwa... Lakini, still bado wapo wachache ambao wapo "UNIQUE", na wenye material "original"... Mfano mzuri ni blog moja ya Sayansi, Inayoitwa: TUONGEE SCIENCE Na nyingine kadhaa pia...
  3. JM Aristotle

    Cable modem???

    Thank you for that man! Appreciate that... Hata mimi baada ya kuzunguka sana; I came to that conclusion... nilitaka tu niulize na hapa... before I decide to even buy it online or otherwise.
  4. JM Aristotle

    Cable modem???

    Zipo za aina nyingi from different manufactures; that's why I was general ili mwenye nayo anambie anayo ya aina gani? kuhusu kuitumia wapi: It's my own simple project... For a brief clarification: Cable modems provide high-speed Internet access over cable TV networks (which rely primarily on...
  5. JM Aristotle

    Cable modem???

    Habari yenu wadau! Natafuta kifaa kinaitwa "CABLE MODEM"... Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kwa hapa Dar; but nobody has it or even seem to know it... Nimeweka picha ya hiyo device hapo chini... Kama kuna mtu anafahamu zinapouzwa or any way to help; please PM me... Asanteni Sana!
  6. JM Aristotle

    Where do you fall?

    I don't mind being in the "first class" because, then; my position is guaranteed... But with other classes; it's a probability... E.g: Not all who enter politics succeed, and not all "failures" have successful businesses...
  7. JM Aristotle

    Read instructions before use.

    OMG! I couldn't even imagine being in his shoes...
  8. JM Aristotle

    Looking for a husband????

    Very simple... Yet the truth in it is so profound!!!
  9. JM Aristotle

    I don't think so!

    OMG! This is hillarious...
  10. JM Aristotle

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Sikatai kwamba: What you are saying might be true... In fact; all of it might be true. Lakini tujiulize pia: Pamoja na hayo yote, kwanini kumekuwa na "protests" kubwa kiasi kile... On my opinion, nafikiri: pamoja na huduma zote hizo, it still wasn't enough compared to their national income. Na...
  11. JM Aristotle

    The secret behind the number 11

    You nearly got me there...
  12. JM Aristotle

    Sex & The City series

    It's so funny and so educative!!!
  13. JM Aristotle

    Je hii ni sawa?

    Mmh! asante baba!!! Kwaheri!
  14. JM Aristotle

    facebook nayo

    Mmh! jamani...
  15. JM Aristotle

    facebook nayo

    It all depends... facebook ukiitumia vizuri ina faida zake pia! (Remember; everything has an advantage and disadvantage)
  16. JM Aristotle

    Utafanyaje?!

    Nitamripoti polisi... sio kwasababu nataka pesa (huo utakuwa usaliti). Nitamripoti kwasababu ya uraia wema...
  17. JM Aristotle

    Hii ikikutokea utafanyaje?

    Mimi kwa upande wangu bwana, hapo nadhani hakutakiwi kuwa na compromise yoyote... kwa sasa wewe ni mume wa mtu. Bwana, wewe mwambie ukweli kwamba umeshaoa. Usifikirie sana kuhusu kumuumiza kwasababu either way, hapo ni lazima mtu mmoja aumie. Kwahiyo jiulize mwenyewe; wa kuumia awe huyo dada au...
  18. JM Aristotle

    Je hii ni sawa?

    Mbona kama vile mada yako haihusiani na jukwaa la mahusiano, mapenzi??? Kwa kukujibu; kwanza nahisi kama umekuwa unfair, kwani ni viongozi wa dini tu ndio huenda kwa watu bila taarifa??? Hiyo tabia mbona ni ya kawaida sana kwetu... Au kuna jambo jingine ambalo hatulijui???
  19. JM Aristotle

    Padri wa kijiji

    Huyo padri ni balaaaaaaa!!!!!!
  20. JM Aristotle

    Wasomi wawili

    IT na Uhasibu, wapi na wapi...
Back
Top Bottom