Search results

  1. N

    Jiji la Mbeya lashindwa kutengeneza barabara za mitaa viwanja vipya kwa zaidi ya miaka 8

    Nilinunua kiwanja Eneo la Mwakibete Mlima James mlima wa tatu toka mlima VETA karibu na Lyoto sekondari .Ni mwaka wa tatu sasa tangu ninunue ,lakini aliyeuza alipatiwa na jiji zaidi ya miaka 8.Nilipojaribu kuanza kujenga tu njia ambayo ilikuwa inatumika akajitokeza mtu mwenye kiwanja akaweka...
  2. N

    Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    Mfanyakazi ananyonywa yangepunguzwa wangekuwa na msaada kwa mtumisho,mimi kila mwezi nakatwa 20,000 sawa na mtungi mdogo wa gesi,umeme matumizi madogo elfu 9000 nabakia na chenji.Wenzangu mnakatwa ngapi na chama gani?na mambo gani wanafanyia kila mwezi,CWT ukifariki lambilambi 50,000/=
  3. N

    Mei Mosi miaka hii imepoteza mvuto imekaa kisiasa,ipo kama April mosi

    vyama vya wafanyakazi haviwasilishi shida za wafanyakazi.Waliomba Serikali kuhamia Dodoma Raisi alikubali palepale,Mei mosi ingine wakaomba kuunganisha mifuko ya jamii nalo palepale likakubaliwa.Kuunganisha mifuko kwa maoni kunaondoa ushi ndani,kuhamia Dodoma sijajua kama ndio shida ya...
  4. N

    Wenye elimu ndogo ndio wamekalia ofisi

    Tanzania wenye elimu ndogo ndio wamepewa fursa kuongoza wenye elimu kubwa. Hii inatokana na vyeo kupeana kwa kujuana, soma maliza madarasa yote kama huna anayekufahamu utaongozwa na mwenye ziro fomu 4. Huyu ndiye anayeamua upande cheo au la, nenda sekta zote za serikali. Ndio maana...
  5. N

    Wenye Elimu ndogo ,wanawaongoza wenye elimu kubwa Tz

    Nchi ya tanzania vyeo haviangalii elimu bali unajuana na nani mwenye wadhifa.Soma maliza madarasa yote utaongozwa na mwenye cheti.Iwe sekta ya Elimu ,Sayansi ya elimu ya juu,halimashauri nk.Mwenye cheti kakalia kiti ofisin,ndiye anayepanga mshahara wa Profesa
  6. N

    Uundwaji baraza la Mawaziri ni umakini au kushindwa ndio kunachelewesha

    Bado siku 2 utimie Mwezi tangu Raisi aapishwe.Tuseme huu ni umakin au kushindwa,au kutojiandaa mapema
  7. N

    MTUKUFU JP Magufuli Majiji na halmashauri zina mahari mengi kupita kiasi.

    Ukipita kwenye halimashauri hizo na majiji siku za J/pili utakuta magari madogo ya kutembelea SM yamejaa parking hadi uwanjani.Nadhani Magari ya aina hiyo yalitakiwa yasizidi Kumi yaani La mkurugenzi,Meya,mhasibu,mchumi,na kila idara moja. Kwa kupunguza magari kutaokoa fedha zafuta.Nashauri...
  8. N

    Siku zinapopungua kuelekea 25 October Tatizo LA umeme linaongezeka.

    Umeme unakatwa saa 10 usiku unarudi saa 5 usiku.Hapa ni miaka 50 tangu Uhuru. Mitambo ya kusikuma maji haijazi maji ya kutosha kwenye matangi,hivyo maeneo mengi hakuna maji,zaidi ya kununua yanayotembezwa kwa bei ghali. Kinyozi changu nalipia kodi ya chumba bila kufanya kazi. KIZURI...
  9. N

    Kumuondoa Lowassa Ikulu ni rahisi kuliko kuiondoa CCM madarakani

    Tuanze kwa kufanya mabadiliko mwaka huu,mabadiliko haya yatakuwa endelevu uchaguzi ujao kama UKAWA hawaeleweki tunaweka vyama vingine.Hii itachochea maendeleo.Tumpe kura za kutosha Manvi MZee Lowassa mwaka huu.
  10. N

    Hivi ni kweli tatizo la bei ndogo ya Kahawa Bukoba ni kodi kuwa nyingi?

    Nilikuwa namsikiliza Magufuli live kutoka Bukoba.Akimkosoa mgombea Wa UKAWA aliesema ataruhusu kahawa ikauzwe Ugand,amesema yeye amefanya utafiti kinachofanya kahawa iwe being ndogo Tz ni kodi kuwa nyingi. Ninavyofahamu kodi kuwa nyingi kungesababisha bei iwe juu,naomba tuelimishane kwa hili.
  11. N

    Hivi jina Tingatinga lina maana gani,na kama a.k.a ya MTU nini wasfu wake.

    Nimejiuliza maana ya hilo jina sijaelewa,na kama likiwa ni jina la MTU atakuwa na sifa zipi kwa kuangalia asili ya jina.Kuna wimbo nilishawahi kusikia "TingaTinga limeingiaje kwenye Nyumba ya starehe"nielimisheni
  12. N

    Mgombea yupi ?Wa Uraisi anakubalika mkoa up?i

    Lowassa anakubalika Mbeya,Dar,Mwanza name Arusha.Magufuli anakubalika Njombe,Ruvuma,Morogoro na Mara hii ni kutokana na kuona kila kundi la watu 10 wakiongelea siasa mmoja atakuwa tofauti.Endelezeni wengine mikoa mingine.
  13. N

    Kila Uchaguzi, kusiwe na chama chenye uhakika wa kushinda

    Kusiwe na chama chenye uhakika Wa kushinda uchaguzi kila baada ya miaka 5,(Chama ambacho hakijatimiza ahadi).Siasa ni ajira kwa mwanasiasa yeyote yule akijua kuwa ajira yake haina uhakika atatekeleza matakwa ya waajiri wake yaan wananchi.Hii nchi si Mali ya CCM wala UKAWA,kama UKAWA wakipewa...
  14. N

    Usithubutu kununua king'amuzi cha Tsh34,000/-Mbeya utaliwa ni Toy

    Unaponunua hakuna kujalibiwa wakina dada wapo bize unapewa risiti na maelekezo ya mdomo.Ukienda kujaribu MFA wote ni Card error au card do not match nk,ukirudi kwenye ofisi zao kama umeme upo watakwambia mtandao upo chini nenda watarekebisha. Kama umeme hakuna ndio sababu uje umeme...
  15. N

    "Natayafunga mafisadi na Majizi ili watanzania muish kwa raha"

    Hii nimeisikia kwa moja ya mgombea Uraisi ambaye mkutano yake huwa live,lakini pia nimemsikia akiwawatahadharisha wakurugezi Wa Meiji na majiji kuwa ole wao awe raisi,pia kawatahadharisha Madaktar nao ole wao,watendaji Wa serikali ole wao. Raisi anayemaliza muda wake Leo Morogoro ametwambia...
  16. N

    Jinsi hali ya nchi itakavyokuwa siku UKAWA ikitangazwa kama mshindi na tume (NEC)

    Nadhani siku hiyo watu wengi watajitokeza barabarani kwa furaha na kwa amani na bila woga wakipungiana mikono na vyombo vya Usalama. Lakini pia hakutakuwa na Chama tena chenye Uhakika Wa kushinda uchaguzi bila kutimiza ahadi. Wewe unadhani itakuwaje siku hiyo?
  17. N

    Watanzania hatuelewi kazi ya Raisi tunayemchagua 2015.

    Awali ya yote naomba Tusaidiane swali hili,Ninani msimamizi Wa shughuli za kila siku za serikali? Nani anayeunda serikali? Kwa uelewa wangu msimamizi Mkuu Wa shughuli za serikali ni Waziri MKUU. Na Raisi ndiye anayeunda Serikali. Kama majibu ni sahih,basi tuelewe kuwa hawa tunaowapa Uraisi...
  18. N

    Mageuzi ya siasa yaliyofanyika Kenya tunaweza kulinganisha na hali inayoendelea TZ

    Siasa za Kenya zilibadilika pale Raisi Moi alipotumia nguvu yake kumpendekeza Uhuru Kenyatta kuwa mrithi wake Wa kiti cha Uraisi.Wale wasiokubaliana na pendekezo hill kwa sasa tunaweza ita makapi,Oil chafu nk wakajiengua toka chama tawala KANU.Baada ya kujiengua na kutengeneza kambi mbadala...
  19. N

    Mageuzi ya siasa yaliyofanyika Kenya tunaweza kulinganisha na hali inayoendelea TZ

    Inasemekana Rais Moi alikwenda na jina la mgombea Uraisi kwenye kikao cha kutekuteua mgombea Wa TANU.Ambao hawakuridhika kama wanavyoitwa sasa"Oil chafu"Makapi"wakajiengua toka KANU.Wameongoza Kenya Miaka yao ikaisha hatimaye waliyemkimbia wameungana naye wakampa Ikulu.Hizi dalili zinazoendelea...
  20. N

    TANESCO Mbeya haijali wateja

    TANESCO Mbeya imeamua kuwakomoa wateja wapya wa LUKU,utaratibu ulivyo ni kuwa ukiunganishiwa umeme unatakiwa kubadilishiwa viwango kwenda matumizi madogo baada ya miezi 12. Lakini tangu mwezi wa 4/2015 wale waliopeleka maombi hawafanyiwi hivyo,hiyo kumkamua mteja kwa gharama kubwa kwa unit...
Back
Top Bottom