Nyakua nyakitita
Senior Member
- Apr 14, 2014
- 193
- 43
Tanzania wenye elimu ndogo ndio wamepewa fursa kuongoza wenye elimu kubwa. Hii inatokana na vyeo kupeana kwa kujuana, soma maliza madarasa yote kama huna anayekufahamu utaongozwa na mwenye ziro fomu 4.
Huyu ndiye anayeamua upande cheo au la, nenda sekta zote za serikali. Ndio maana miradi/mipango mingi ya serikali inafeli kama ATC nk kujuana kwingi. Usishangae unaenda ofisi za Elimu ukamkuta afisa elimu asiye na Elimu, Ofisi za halimashauri/jiji kuna wanasheria wasio na sheria walipata nafasi za kubebwa hata kama vyetu haviruhusu, wamepewa nafasi ili waweze kuishi.