Hivi jina Tingatinga lina maana gani,na kama a.k.a ya MTU nini wasfu wake.

Nyakua nyakitita

Senior Member
Apr 14, 2014
193
43
Nimejiuliza maana ya hilo jina sijaelewa,na kama likiwa ni jina la MTU atakuwa na sifa zipi kwa kuangalia asili ya jina.Kuna wimbo nilishawahi kusikia "TingaTinga limeingiaje kwenye Nyumba ya starehe"nielimisheni
 
Ninavyoelewa mimi tingatinga ni mashine inayoweza fanya kazi nzito ya kuhamisha udongo, kuchimba mashimo, kung'oa miti, kusawazisha milima, kubomoa nyumba n.k. kwa urahisi sana - lina nguvu sana!! Tatizo lake ni moja tu! haliwezi kufanya yote hayo bila mtu anayeli-control, haliwezi kuamua lenyewe kwamba hii ni nyumba nisivuje, ufanisi wake ni pale anapokuwepo mtu wa kuliamrisha cha kufanya. Kama tingatinga likiwa ni jina la mtu au mtu akaitwa au kujiita tingatinga, kwa maana hizo hapo juu ... mi sijui, fikiria na wewe!
 
Mtaani tingatinga ni mwanaume ambaye ana papuchika na kila demu yani achagui mzuri au mbaya mwenye tabia nzuri au mbaya mtoto au mtu mzima
 
Ninavyoelewa mimi tingatinga ni mashine inayoweza fanya kazi nzito ya kuhamisha udongo, kuchimba mashimo, kung'oa miti, kusawazisha milima, kubomoa nyumba n.k. kwa urahisi sana - lina nguvu sana!! Tatizo lake ni moja tu! haliwezi kufanya yote hayo bila mtu anayeli-control, haliwezi kuamua lenyewe kwamba hii ni nyumba nisivuje, ufanisi wake ni pale anapokuwepo mtu wa kuliamrisha cha kufanya. Kama tingatinga likiwa ni jina la mtu au mtu akaitwa au kujiita tingatinga, kwa maana hizo hapo juu ... mi sijui, fikiria na wewe!

Asante Kwa Kunikosha Kwa Ufanunuzi Hasa Hapo "haliwezi Kubomoa Lenyewe Pasipo Na Mtu Anaeliongoza/endesha" Haha Hah! U Made My Day! #lowassa #for #presidency!
 
Back
Top Bottom