Search results

  1. MKUDE SIMBA

    Wapi wanauza Nondo kwa bei ya jumla Arusha

    Poleni na majukumu, naomba kufahamishwa wapi naweza pata NONDO kwa tani bei ya jumla nzuri Arusha.
  2. MKUDE SIMBA

    Recruitment Portal ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kushindwa kufunguka

    Pia zingatia kuangalia yale maandishi mekundu yanakupa ujumbe gani, weka correct attachment type ukikosea sehemu ya ku apply haifunguki Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MKUDE SIMBA

    Recruitment Portal ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kushindwa kufunguka

    unatumia kifaa gani kujiandikisha? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MKUDE SIMBA

    Recruitment Portal ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kushindwa kufunguka

    Mtandao wa Tigo unasumbua, tumia tofauti chief Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MKUDE SIMBA

    Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

    still available?
  6. MKUDE SIMBA

    House4Rent NYUMBA YA KUPANGA ARUSHA

    sawa mama Debora, naomba namba yako
  7. MKUDE SIMBA

    House4Rent NYUMBA YA KUPANGA ARUSHA

    Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, jiko sebule, fensi, huduma ya maji ya kuaminika na ya kujitegemea umeme inahitajika maeneo ya njiro au moshono, budget laki 2.5. hapana madalali. Inbox hapa jamii forums kwa mwenye nayo.
  8. MKUDE SIMBA

    Asante mme wake alokuwa shemeji yangu narudishiwa gharama zote nilizogharamia demu

    hiyo hela ulimpa kwa makubaliano gani? kwamba akikataa kuolewa akurudishie? ulimkopesha? ni hela ya mahari? au ulikuwa unamnunua?
  9. MKUDE SIMBA

    Kwanini wanaume wa Kibongo tunapenda sana mademu wanene wakati Ulaya wanapenda wembamba?

    kwa hiyo unaona tufuate vya ulaya? au ulaya wafuate vya kwetu? au kila mtu awe na chaguzi zake?
  10. MKUDE SIMBA

    Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

    haya mjeda wa njombe kazi kwako
  11. MKUDE SIMBA

    Nafasi za kazi AICC

    Arusha International Conference Centre (AICC) invite qualified Tanzanians to fill the following posts :- AUDIT OFFICER (ONEPOST) RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II(TWO POSTS) NURSE II(ONE POST) ASSISTANT MEDICAL RECORDS TECHNICIAN II (TWO POSTS) For more details on the posts go to the Centre’s...
  12. MKUDE SIMBA

    Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

    ni rahisi sana kutumia kiongozi, naweza kukufungia kama trial ukajionea
  13. MKUDE SIMBA

    Shirika la Posta Tanzania na Ecommerce

    Habari za kazi wadau, Nimekuwa nikitumia huduma ya Posta kupokea vifurushi nilivonunua kwenye mitandao toka nje ya Tanzania, lakini nasikitika na huduma mbovu inayotolewa, mzigo ukishafika Tanzania, huwezi jua tena ulipo kwa kutumia tracking number na pia si ajabu kutoupata mzigo husika...
  14. MKUDE SIMBA

    Mdogo wake mume wangu amenitongoza

    njia panda kufanyaje?
  15. MKUDE SIMBA

    Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

    Angalia Video hii yenye maelezo ya mfumo unavyofanya kazi
  16. MKUDE SIMBA

    Natafuta software ya kuratibu mahesabu ya dukani

    Kiambatanisho chenye maelezo ya ziada
Back
Top Bottom