Search results

  1. SPANISH CP

    Hatimae vijembe vya kanga vyahamia WhatsAp

    Haahaaa labda anamaanisha ng'ombe hazeeki maini.
  2. SPANISH CP

    Maofisa polisi 120 watimuliwa CCP

    Nachukia mtu anaecomment bila kuelewa mada husika halafu anajifanya mjuaji kupitiliza. Umembiwa hao wamepata ulemamavu na matatizo wakiwa ktk majukumu humohumo ndani ya utumishi wao. Fungua akili kenge we!
  3. SPANISH CP

    Ajali: Gari la Cocacola limepinduka Makongo

    Acha kuwadhalilisha makamanda wetu bwana,unafikiri wanajeshi ni watu wa hovyo hovyo wa kufakamia maiti za soda?
  4. SPANISH CP

    Tafiti zimeonyesha kuwa, watu wanaoutazama ulimwengu kwa jicho chanya huishi maisha marefu

    Binafsi zipendezwi na mada zenye maisha ya kufikirika. Ni mtanzania gani unaemueleza kwamba aamke asubuhi na kutoka nje ya nyumba aangalie mandhari ya maua mazuri na ndege wanaovutia? 1.Hawa wanaobanana Manzese na Tandale? 2.Hawa wahitimu wa vyuo wanaomaliza soli za viatu bahasha kwapani...
  5. SPANISH CP

    Polisi Geita mnatia aibu,mtuhumiwa amewatoa jasho

    Yaani mwizi kabisa akimbizwe afuate barabara?
  6. SPANISH CP

    Majaliwa: Walimu lazima wakatwe fedha za maabara

    Nimeliambia liache kuropoka uongo limegoma,nadhani kavurugwa.
  7. SPANISH CP

    Majaliwa: Walimu lazima wakatwe fedha za maabara

    Mtoa mada ni muongo Mimi nimesikiliza kipindi Majaliwa hakusema hayo. Tpaul wewe ni mnafiki
  8. SPANISH CP

    Majaliwa: Walimu lazima wakatwe fedha za maabara

    Ndugu yangu unapata faida kuudanganya umma kupitia hii forum? Binafsi nimesikiliza kipindi mwanzo mpaka mwisho hakuna sehemu Mh Majaliwa amesapoti walimu kukatwa walimu pesa. KUA MKWELI Alichokisema ni kwamba ho wakuregenzi wanachokifanya hakikubaliki kama ni michango ifanyike kwa makubaliano...
  9. SPANISH CP

    Wanawake bwana!

    Hata mimi hii habari nilisikia magazetini juzi itakua ni kweli.
  10. SPANISH CP

    TANZIA: Maxence Melo amefiwa na baba yake Mzazi

    NB: Zoezi la kutoa rambirambi ama hiyo unayoita ubani liwe endelevu kwa kila mwanachama atakaefiwa sio huyo tu.
  11. SPANISH CP

    Shule zenu ni biashara yenu binafsi, iwaje impate ruzuku ya serikali?

    Hiyo ni biashara yao,hiyo ruzuku wanayodai bora ipelekwe kuboresha shule za serikali zilizo na hali mbaya kama ile ya Bagamoyo.
  12. SPANISH CP

    Hivi namba ya simu ni jambo la siri?

    Tatizo hapa linakuja ni ktk matumizi mabaya ya namba za simu baada ya kuwa nayo,wengine hutukana,hutishia n.k
  13. SPANISH CP

    Mtwara: Kifaru cha JWTZ chaiparamia nyumba na kusababisha vifo!

    Watanzania Mmelewa amani mpaka mnakosa adabu,unatoa wapi ujasiri wa kuwaita wanajeshi wapuuzi?
  14. SPANISH CP

    Mtwara: Kifaru cha JWTZ chaiparamia nyumba na kusababisha vifo!

    Huyo askari marehemu anauhusiano na mzee wa msituni?
  15. SPANISH CP

    Nini hatima ya wenye daraja la nne wanaosomea ualimu vyuo binafsi 2014?

    Either Umeelewa hadi ukapitiliza au hukueelewa kabisa, kilichopo kuna makundi mawili waliomaliza kidato cha 2013 na waliomaliza nyuma ya hapo. div 4 ya points 26 na 27 kama umemaliza nyuma ya 2013 bado unasifa na kusomea ualimu,
  16. SPANISH CP

    Wasagana kwa miaka 71,wameamua kufunga ndoa

    Aliyeoa Ndiye mume na aliolewa ndiye mke.
  17. SPANISH CP

    Tanzania yashika nafasi ya pili Afrika

    walau ktk hili tunaweza kuvunja rekodi
  18. SPANISH CP

    Kwa malezi ya namna hii lazima mtoto awe na tabia zisizoeleweka

    Kwenye Suala la kiburi wahehe umewaonea!
  19. SPANISH CP

    Kwa malezi ya namna hii lazima mtoto awe na tabia zisizoeleweka

    Nijuavyo Mimi 1.waajiri wengi wana roho mbaya za manyanyaso kwa wafanyakazi wao. 2.Wafanyakazi wengi hufanya kazi hiyo kua ni sehemu ya kujishikiza tu wakati anasubiria kukua kiumri ili apate mume wa kumuoa au akatafute kazi zingine zinazofanywa na wakubwa.
  20. SPANISH CP

    Kwa malezi ya namna hii lazima mtoto awe na tabia zisizoeleweka

    Halafu inahusianaje na malezi ya watoto?
Back
Top Bottom