Search results

  1. M

    Kaka yangu anataka kunioa

    Huyo dada anawazingua tu jamani, kila mtu ameumbwa na nafsi (dhamira) ambayo hata mtu asipomwambia kua amekosa yeye mwenyewe ni wa kwanza kujua kua amekosa au kama anachofanya si sawa. Na anajua si sawa ndio maana ameuliza kama ni "SAWA" nafsi yake imeshamwambia kua si sahihi kuwa na uhusiano wa...
  2. M

    Sweet Heart

    Smokers have smoking heart, Drinkers have an alcoholoic heart. I request you Plz don't eat sugar coz u aready have a Sweet Heart
  3. M

    Mukazi Wange Search: Yametimiahaya hapa matokeo kamili

    kwenye kubadirika ndio issue!!! bibie ajitayarishe kama kuna mambo ya kubadirishwa kuna uwezekano yakabaki vivyo hivyo. Haya sisi tunawatakia maisha mema, ila KUBADIRIKA MMMMMHHHH!!!
  4. M

    Marubani wa ajali ya Ndege ya ATCL wanaitaji Kupewa pongezi

    Ni kushukuru Mungu tu kua tatizo halikutokea wakiwa angani, hata hivyo kuwashukuru kwa kazi nzuri ni jambo la muhimu na la busara sababu wangekua wazembe pia labda ndugu zetu wangepoteza maisha, wao ndio marubani wanajua zaidi sisi tutaongea na makelele mengi lakini pengine bila utaalamu zaidi...
  5. M

    Zilipendwa

    naomba ZUWENA na MASUDI amekua jambazi
  6. M

    Zilipendwa

    naomba mtaa wa saba
  7. M

    Words women and men say during sex

    watu wanasema hayo kimjini zaidi lakini ukienda kule kwetu na wenyewe wana ya kwao jamani, zote kachumbari tu
  8. M

    House Boy huyu ni Kiboko

    HOUSE BOY: BAKARI Bakari is a house boy who every day drinks the wine of his Boss and puts water in the bottle to replace what he drank. But the Boss having suspicions as for the quality of the wine, he decides to buy pastis (a French wine that changes colour if you add water). Bakari as...
  9. M

    Ndoa imenishinda...Your Advice PLS!

    Mmmh Jamani. Kwani wewe usichoelewa ni kitu gani hapo mwenzetu? Huyo mwanamke hakutaki na anakutafutia visa!!! Achana naye masharti gani hayo? Kupenda si upande mmoja inatakiwa na yeye akupende pia kama angekua anakupenda wala asingekupa masharti yote hayo, kwani yeye ni malaika hadi...
Back
Top Bottom