Search results

  1. Mwasi

    Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

    Kweli mkuu, mtu akijua haki zake na kutokubali upumbavu eti anakiburi na jeuri, huko ni kutokujiamini tu kwa wanaume.
  2. Mwasi

    Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Kweli Mkuu bora kubaki chini kwa amani
  3. Mwasi

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa tumaini letu.
  4. Mwasi

    Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 5, Kakonko, Kigoma

    Group G ni group la kifo kabisa hilo.
  5. Mwasi

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Very sad news indeed, RIP Dr. Mvungi.
  6. Mwasi

    Mwigulu Nchemba amtembelea Mtanzania anayedhalilisha watanzania huko UK (Picha)

    Nimewaza kama wewe sio bure lazima hazimtoshi kichwani. Asingejizalilisha hivyo.
  7. Mwasi

    Mahojiano; Dr. Slaa na Greg Garrison 93.1 WIBC; Pia Dr. Slaa na Pacifica satation WPFW Washington. D

    Nimeipenda 'The next president of the URT'. Mungu akulinde Dr. Slaa.
  8. Mwasi

    Thank's God, to have a Baby Girl..!!

    Hongereni sana Sizinga. Mungu awalindie na kuwakuzia kwa afya njema na baraka tele.
  9. Mwasi

    Maskani/Getto Zinawanyima Wanaume Wakibongo Maksi Sanaaaa! Full Kukomaa Na Hoteli!!!!!1 LOL!

    Smile umeongea point kabisa, nakubaliana na wewe kwa 101%. Kama umempenda mtu wala hutaangalia ana nini walahi hata kwangu anahamia tu kama nampenda na yeye ananipenda kiukweli. Hela zinatafutwa tu, ili mradi awe mkweli.
  10. Mwasi

    Unajua anavyovihitaji mwanamke kutoka kwa mwanaume ??

    Nahitaji mapenzi yake tu kwa kweli....love love love....to be loved that is all I need.
  11. Mwasi

    The Window Through Which We Look

    Ansate kwa wimbo BAK ...umenikumbusha enzi zetu za secondary na huu wimbo.
  12. Mwasi

    WANAWAKE kukaa hovyo ni kujisahau tu au makusudi?

    Yes, it could be up to 99% intentionally.
  13. Mwasi

    Natafuta mume

    Good luck mamii. Ila vumilia comment za watu zisikukatishe tamaa, muombe Mungu tu kukutana ni popote.
  14. Mwasi

    WANAWAKE kukaa hovyo ni kujisahau tu au makusudi?

    Ni makusudi..hakuna kitu wanawake tuko-sensitive kama kukaa uchi.
  15. Mwasi

    Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Pole sana mkuu. Ningekuwa wewe ningevunja tu huo uchumba, mi kwangu kosa kubwa kabisa la kuvunja uhusiano ni kucheat. Kama ameshindwa kuvumilia huku mwanzoni kwenye ndoa ndo ataweza. Ila mwamuzi ni wewe.
  16. Mwasi

    kwa walio pima ya kipimo cha CT SCAN mahali popote.

    Nilishawahi kufanyiwa pale TMJ siku nyingi kidogo (mwaka 2008), nadhani watakuwa bado wanafanya. Gharama sikumbuki..maana mwajili alilipia. Ukikosa mtu wa kutoa hint nenda pale nadhani gharama watakujuza.
  17. Mwasi

    PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    Hii sio fair kabisa. Hivi angekuwa mbunge wa CCM wangefanya hivi najiuliza tu.
  18. Mwasi

    kwaito ni lazima kwenye sherehe zetu??

    Nilidhani ni mimi tu ndo sijui..hebu tuwekee hata nyimbo moja mkuu ummu kulthum na sisi tuone hii kwaito inachezwaje.
  19. Mwasi

    Mwingine tena akamatwa na madawa mchana huu kaweka kwenye Johnson Powder

    Wateja ni kina nani sasa Pdidy? Soko ni kina nani hasa wenye hela hao mpaka watu wanatake risk kiasi hiki?
Back
Top Bottom