Search results

  1. gifted mind

    Ni hatari kwa afya yako kuweka wallet kwenye mfuko wa nyuma

    Umesahau jambo muhimu.Maumivu ya mgongo
  2. gifted mind

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Kifutu huwa hana shida na mtu hata ukipita jirani hana habari nawe labda umkanyage bila kujua...hapo umeshanunua kesi.Ana sumu mbaya sana na inaozesha jeraha lakini koboko (black mamba) hata bila sababu ikiwa tu mmekutana yeye lazma akuletee noma
  3. gifted mind

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Ni nyoka wawili tofauti
  4. gifted mind

    Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

    We shauri ako
  5. gifted mind

    Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

    Ukiangalia East coast team enzi za GK..Fa na AY....GK alikuwa kama ndo mwenye kundi...na maarufu sana sasa ona aliko now na ufananishe na hao wenzie
  6. gifted mind

    Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

    Katika group yoyote iwe ni music au hata mipira....lazma kuna mmoja ata shine na ku mask wengine sababu ya nyota hata kama ana talent ya kawaida tu.Kuna watu wamepewa kibali sana cha kukubalika mapachoni na mioyoni mwa watu.Ni karama toka kwa Mungu
  7. gifted mind

    Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

    Haiwezekani afe 1981 akiwa na 36 halafu 1979 awe 24/26
  8. gifted mind

    Natangaza kiama kwa huyu daktari uchwara

    Mungu anakuepushia jambo kaka
  9. gifted mind

    Natangaza kiama kwa huyu daktari uchwara

    Kwanza nikupe pole kwa yote,lakini nikushauri pia kwamba unapopanga kumdhuru mtu kwa jambo kama hilo unajitafutia balaa zaidi kuliko ungepuuzia.Halafu umeshapost humu ni rahisi wewe kutafutwa endapo huyo jamaa atadhurika hata kama si wewe umehusika
  10. gifted mind

    Marc Adre Terstergen goal keeper atakayesumbua sana duniani miaka ijayo

    Makipa wanaokuwa barca huwezi wajua ubovu wao mpaka waondoke barca.Team inamiliki mpira kila muda so kipa hana stress.De gea amethibitisha ubora wake kwa kuwa yuko utd na amefanya makubwa ingawa team lake bovu
  11. gifted mind

    Ushawahi kununua gari Be Forward?

    Hapo hujalipia bima na zaga zaga nyingine
  12. gifted mind

    Ushawahi kununua gari Be Forward?

    Ina maana hapo unatakiwa umalizane na TRA...kodi ambayo roughly ni dola 4000 tena.....ina maana total mpaka gari mkononi ni dola 8000
  13. gifted mind

    Ushawahi kununua gari Be Forward?

    Cargo Inspection Freight....sio Insurance
  14. gifted mind

    Msichana kaniambia nisimpigie simu sasa hivi yupo na boyfriend wake

    Uuaji uko wapi hapo?umeambiwa ana mtu wake unaendelea kumfuata wa nini?
Back
Top Bottom