Search results

  1. T

    CHADEMA wataka wabunge 2015 kufanya mtihani

    kuna hatari huo ukawa ndo mwanzo wa kupata viongozi wabovu,navyowajua wabongo hizo paper zitaibiwa tu.....unahitajika mfumo uliotulia kudhibiti haya yote
  2. T

    Ghorofa linawaka moto sasa hivi

    chanzo cha moto ni nini?
  3. T

    CNN: Kenya inaongoza kwa matumizi ya ICT, Tanzania kwa uchawi!

    kuna ukweli ndani yake kwani hata kipindi cha uchaguzi kikifika macho ya wana siasa huwa kwa waganga wa kienyeji zaidi kuliko kumshirikisha Mungu,leo ukipita mitaa ya dar imejaa vibao vingi vyenye namba ya waganga wa kienyeji wanaotoa dawa za ajabu ambazo hazipo sehem nyingine ya dunia kama...
  4. T

    Jirani yangu akinifanyia hili kisheria nifanyaje?

    kama mchangiaji mmoja livyosema hapo juu,ipo sheria ya madhara ambayo inaweza kukusaidia kutatua tatizo lako ikiwa ni pamoja na compasation ya damages ulizopata kutokana na uchafu huo pamoja na kufungiwa njia.....unachotakiwa ni kufika kwa mwanasheria na kumweleza ambaye atakupa ushauri wa kisheria
  5. T

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    club za kufanya mazoezi ya kujilinda hapa Bongo zinapatikana wapi?
  6. T

    Vifo vya ghafla vyaendelea kutokea UDOM!

    kwa kuwa hakuna mazingira yoyote yaliyoonyesha kuwa kuna aliyesababisha,basi tuamini ni natural death
  7. T

    Kwa heri Kamanda Philip Magadula Shelembi"- WASIFU UNAOISHI...

    kwanza nampongeza mwandisha wa makala si tu kwa kuelezea wasifu wa Hayati Shelembi bali kwa kwa kutoa moyo kwa wale wote ambao wamekuwa wakipigania maslahi ya nchi na watanzania kwa ujumla. Ni kweli,tunapoamua kugombea uongozi ni lazima tufanye kwa manufaa ya nchi na tusitangulize tamaa zetu...
  8. T

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    safari ya kutafuta utawala wa haki ni ndefu lazima wapo watakaotolewa kafara lakini iko siku moja damu zao ndio itakuwa chachu ya ushindi kwa waliobaki" by tryphone 2010
Back
Top Bottom