Kwa hiyo kama amedhurika atapona kwa hicho kilio anacholia mama yake?
Kama mnahisi kunatatizo kwa nini msimpeleke hospital kujiridhisha? Yaani lisaa lizima, mtoto kilio na mama kilio.
Umeme umekatika toka jana saa nne maeneo ya mtoni kwa aziz ally, lakini ulirudi saa moja usiku lakini baadhi ya maeneo huku nyuma ya sabasaba haujarudi hadi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tu unyamaze maana hujui hata ni nani aliyekuwa waziri wakati huo na ninani sasa hivi. Na kama alikuwa mhandisi au la.
Hivi shule inapofanya vibaya mwl mkuu akiwajibishwa anaweza jitetea kuwa sio mimi ninayewafundisha?
Yaaani na hii mvua ya leo, mifereji imeziba, maji yametapakaa barabarani. Wanasogea kukwepa maji wanaziba barabara kabisaa, hakupenyeki.
Kuna foleni leo ya kufa mtu.
Mambo wanayofanya hawafikirii kesho.
Labda siku zote wataishi makambini na hayo magwanda na kutembea jwa makundi makundi.
Lakini kama wanajua ipo siku au nyakati atajichanganya kwa raia pekee yake na kuishi nao haihalishi ni mkoa mwingine au sehemu nyingine yapasa kujitafakari.
Dawa ya moto si...
Mungu wangu, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Eliya, Mungu wa Yakobo, Mungu wa Isaka Mungu wa miungu, Alfa na Omega najua hujawahi kushindwa kitu chochote. Ninakuomba katika jina lipitalo majina yote la YESU KRISTO mponye Tundu Lissu. Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.