Search results

  1. dorin

    Iringa: Mkuu wa Wilaya apiga marufuku vijana kushinda vijiweni

    Watupatie ajira. hatutakaa vijiweni
  2. dorin

    Ambao hatujalipwa mshahara zaidi ya miezi miwwili tukutane hapa

    Ni mwezi wa tatu unakatika Mshahara tunausikia kwenye bomba, Tuna hali mbaya sana, kwa mwenendo huu sijui tutafikaje? Hivi kuna kipengele chochote kwenye sheria za kazi kinaongelea kucheleweshwa Mishahara?
  3. dorin

    Za chini ya Kapeti juu ya Mwili uliokotwa jana katika moja ya Chuo huko nchini Nicaragua ni kwamba Marehemu ni...

    Hivi kama kijijini kwenu kuna bucha moja tu LA kuuza nyama halafu mbuzi akaibiwa kijini hapo kesho yake mkakuta ngozi ya yule mbuzi jirani MA lile bucha. Kwahiyo mtasema mwizi ni Yule jamaa WA bucha ama? Huo utakua ni upopoma WA kiwango cha lami
  4. dorin

    Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Dada unatufundisha nini wadogo zako?
  5. dorin

    Uamuzi wa Spika kwa CAG katika jicho la Prof. Albert Venn Dicey

    Ninachukia Sana kucoment post niliyoisoma nusu kiukweli nimesoma hii post nikafika katikati nikahisi naangalia TBC Acheni upopoma na ulemavu wa akili ndugu zangu CAG kasema Kati yake ni ukaguzi na uwajibishaji unafanywa na Bunge Leo Ndugai katika arguements zake angestahili kusema...
  6. dorin

    Kuhusu utaratibu: CAG ataitwa bungeni baada ya kupitishwa kwa azimio. Spika, wapi mlimjadili CAG kama bunge?

    mods ninatanguliza maombi musiunganishe him thread na ile thread mama Kwanza nimshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasi hii kwa siku ya leo Naombeni niulize wandugu huyu speaker na CAG wote ni watumishi WA uma hivi kulikua na Tatizo gani Lea mheshimiwa ndugai kumpigia simu CAG kumuita kwenye...
  7. dorin

    Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

    Yanga wanatia huruma simbaa anakula 1.3b Kutoka cuf na 0.3b kutoka short pesa Mtajibeba MA michango yenu ya buku buku
  8. dorin

    Rest In Peace, Dad

    It's like being in hell today I can't imagine my life without you dad
  9. dorin

    Balozi Hamisi Kagasheki, Twittani

    Wanalumba nawasubiri kwa hamu sana yaaani ninawashwa kusikia coments zenu buku Saba saba
Back
Top Bottom