Search results

  1. sparcus

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

    We nae hata kufatilia hujui.?? Soma habari ni ya mwaka gani
  2. sparcus

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Recruitment zao wanaangalia mtoto wa mjomba kafeli,bas tumpeleke tiss au police hawana mda wa kudeal na intelijensia zao wala uwezo wao wa kufanya hizo kazi
  3. sparcus

    Muhimbili kuna utaalamu, dawa na vifaa tiba vya kutosha? Mbona majeruhi wengi wa moto wa lori la mafuta wanafariki?

    Naona kila mtaalamu anamkosoa mleta mada kwa 80% hongereni wasomi wa jf
  4. sparcus

    Maalim Seif akamatwa na Polisi huko Visiwani Zanzibar, Polisi wakana kumshikilia

    Huku ndiko anakopeleka watu,wakikosa uvumilivu yatatokea mshitueni mapema muache kumpoteza
  5. sparcus

    Membe ni mbaguzi. Mla nyama za watu. Hafai katika uongozi wa nchi

    Mbio zingine mbaya ukiwa huna break.,onyesha ubaguzi kwnye yale mazungumzo,na je una ushahidi wa kutosha kuwa ile sauti ni ya membe??
  6. sparcus

    Kosa kubwa walilofanya January Makamba, Nape na Zitto

    Nmeipenda kwa interest zangu,hayo mngn nawaachia nape,wazito na wakamba.....
  7. sparcus

    A purge

    A purge....."E PUGI" kwishnei st kayumba
  8. sparcus

    Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

    Kisasi is the best
  9. sparcus

    Mshahara wa July 2019 vipi?

    DEPO mpya mna mbwembwe.!
  10. sparcus

    Waraka wa Mzee Makamba na Kinana kutojibiwa ila Majasusi ni sherehe

    Dah! tatizo huwa ni mwandiko wako tu.!
  11. sparcus

    Niko botwasana waswana wanashangilia sana timu yetiu

    Sasa hv wa swana wanaongea lugha vibaya jamaa haelewi,subirini kesho atatuambia "kotama ay shibate"
  12. sparcus

    Je, kuna uwezekano kuwa baadhi ya fedha za umma zilikuwa/huwa zinaingizwa kwenye akaunti binafsi ya Rais?

    Una uwezo mdogo zaidi wa kufikiri kuliko watanzania,hizo fedha bado zitabaki kuwa za uma,kuweka possibility ya kuzimiliki ni upigaji tu kama kawaida yenu,ingekuwa ni zawadi yake angepelekewa nyumbani kwake chato ili kuepusha maswali yasiyo ya lazima,jitathmini au ww ni mjomba "magu" unatetea...
  13. sparcus

    Sanaa ya kifo

    We jamaa ukianzisha kikundi chako cha kujitoa muhanga ukawanasihi hivi utakuwa shida.....
  14. sparcus

    Hivi ni kwa Nini asilimia kubwa ya watu wanashindwa kutamka neno " Statistics"??

    Wee hujakutana na "wani weya prokodishoni" au hili "entrepreneurship"
  15. sparcus

    Riwaya konki: Adili na Nduguze

    Ingekuwa 'shughuli' kuwasiliana kwa hiki kiswahili fasaha ndugu
Back
Top Bottom