Search results

  1. S

    Mahakama ya Kadhi yatoa fundisho la Amani kwa Wakristo

    wakristo mnaopinga mahakama ya kadhi hamujielewi. angalieni kama dini yenu inaukamilifu....
  2. S

    Hivi ndivyo Rais alivyoongolea Mahakama ya Kadhi na Waliomuelewa ni Watu Wachache sana

    wakristo jufunzeni history.. msiishi kwa mazoea
  3. S

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    kwani nyerer ni nani mpaka kila alichokifanya kienziwe, babu mbinafsi mfia dini
  4. S

    Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

    washenzi mimi nilikua nakula kitu cha 400 sasa nawaza kusepa nishaurini niruke wapi
  5. S

    Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

    NAMSHKURU MAMA YANGU ALIEKUBALI KUACHA KAZI MPAKA LEO KWA AJILI YA KUNILEA , ALILIONA HILO NANI KAMA "MAMA" BEKI TATU HAJUI KULEA MATUSI YAMEMJAA MDOMONI, DAH wanawake hapa hakuna ubishi mmenyweshwa sumu kama waasi wa gadafi
  6. S

    Jirani yangu kambamba live mume wake na beki 2

    hilo ni kosa kubwa wanalofanya kina mama, or mara mwanaume gani huchoki, or mara kila siku, or mimi nimechoka so ukipata mtu anayetumika to the maximum kwanini usipone!!! nadhani mchizi hajafanya fair lakini ni msukumo wa sababu kama hizo!!
  7. S

    Nisaidieni wazazi wangu hawataki nimwoe mmachame

    mmchame wafa wewe mwenye asili haachi asili wasikilize wazee wako ukiwa maskini poa
  8. S

    Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

    internet is a connection of millions of networks all over the worlds
  9. S

    Hii ni kwenu nyie kina dada.

    :painkiller:wanawake wanakasumba ya ngoja atanitambua ndio maana wanaume wanaamua kusaka pumziko!!!!!!
  10. S

    Matokeo kidato cha nne 2009

    shenzi wanatia viwewe wadogo zetu kwanini wanachelewa kuyaachia wanatangaza kwenye net bado!!!
  11. S

    Hivi kwa nini Wanaume wanalipia ngono?

    kale kamchezo wanalipia kwasababu waliowengi ni madomo zege so pesa ndio inaongea... hawawezi kutongoza usiombe kua na domo zege
  12. S

    Umalaya

    kazi hii inafanyiwa promotion na serikali kwani wauza joto hawawezikukomeshwa? mimi nadhani kila mwenye umri wa kuoa/kuolewa akamate chombo!!!! unakuta jitu kubwa halijaolewa unadhani hizo stim anazipeleka wapi sex is nature bwana.........
  13. S

    Mtarimbo wangu umelala DORO

    mdau punguza mechi za nje mamaa unamdhulumu siunawajua wauza joto wako ful mizizi ukiwatosa tu wanakuharibia taratibu litaisha chunguza utabain ushanbayn
  14. S

    Nahitaji kufahamu namna ya kuweka link

    vitendo kama hiyo tuwezeshe mdau
  15. S

    Hivi Hawa Wapenzi wanapendana Kweli?

    duh sasa haya maisha uombe isjekukutokea unaweza ukajikataa
  16. S

    Nywele za kwapa na za chini za mwanamke zinapandisha mzuka

    noma iyo harufu kama si msafi utatamani kuikata pua yako tafadhali zioneeni huruma pua zenu
Back
Top Bottom